Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

Leviz

Member
Feb 18, 2024
30
34
Wadau wa JF,

Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi.

Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba, eBay, World Trade, au yeyote kati ya hizo.

Na kila atakayerespond, naomba aeleze kwa kina tovuti anayolenga.
 
Back
Top Bottom