kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,745
huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono.

mnakamua 1500
 
Nchi ingekuwa na wanasheria wenye akili wangeiburuza TRA mahakamani. Inashindwa kuchukua kodi kwa mhusika inamkata asiyehusika. Ila ndio hivyo nchi ina wanasheria wa kupinga Dipii Wadi tu.
 
Back
Top Bottom