Habari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store.
📲 𝙆𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙞𝙙𝙖, ukiwa unataka kuweka app kwenye simu ya iPhone, unalazimika kwenda katika App Store...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuweka mtandao katika kilele cha mlima mrefu. Rekodi hiyo imekwa baada ya serikali kuweka mtandao katika kilele cha mlima Kilimanjaro ambalo limeifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza...
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....
Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
Makocha wasiojitambua wanashindwa kabisa kuepuka tabia binafsi za wachezaji na swala la uchaguzi wa timu. Simba Ni timu ya kawaida yenye wachezaji fixed. Sacko Hana mbadala Simba. Labda Kama kumpumzisha. Ajifunze kwa nabi aliweza vipi kukaa na ambundo, Saido na Kamchukua Morsoni.
Mgunda...
Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea.
Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema.
Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.