Mazingira ni kitu chochote kinachomzunguka binadam
Uchafu ni kitu chochote kilichokaa sehemu isiyo sahihi
Kutunza mazingira ni kuweka Kila kitu kwenye sehemu yake, (sehemu sahihi)
Kwa kiasi kikubwa nchi yetu haina elimu ya kuhifadhi mazingira mfano unaweza ona mtu anatupa ganda la pipi bila...