Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,110
- 3,269
Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo limeanza wiki hii.
Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.
Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.