Kiongozi wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini bwana Julius Malema amezuiwa kwa muda kuandika katika akaunti yake ya Tweeter kwa kukiuka miongozo ya Twitter, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti.
Mbuyiseni Ndlozi, mbunge na mwanachama wa chama cha EFF...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam.
Pongezi kwa Wizara na Serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba.
Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Habari Wakuu,
Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule?
Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu, wanaondoka mmoja baada ya mwingine, huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa...
nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu.
Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu.
Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi.
Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani.
1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana...
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
Ndugu zangu nawasalimu nyote.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na mke wangu kwa tendo la ndoa na tukatumia kondomu kama kinga kuzuia ujauzito.
Toka tulipotumia Kondomu mke wangu anatokwa na majimaji sehemu za siri. Je, wakuu shida inaweza kuwa nini?
Mimi nimekuwa mwaminifu kwake la ningekuwa...
Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano
👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap
Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida.
Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.