Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye sukari nyingi, nguruwe wakubwa. Aina mbalimbali za mbwa. Mimea inayostahimili ukame na magonjwa nk.
Mambo yote hayo pamoja na kasoro zake, lakini yamekuwa na faida kubwa sana kwa binadamu. Ingekuwa kazi ngumu sana kulisha watu zaidi ya 7bln kwa kutumia ng'ombe, kuku au mimea ya kienyeji.
Sasa nauliza kama kuna ubaya wowote kutengeneza binadamu wa kisasa? Binadamu mwenye akili sana. Anayehimili magonjwa, mpole au mgomvi, mrefu au mfupi, mweupe au mweusi, mwenye tako kubwa, maziwa makubwa, nguvu nyingi nk.
Mambo yote haya yanawezekana kwa kutumia biotechnology. Ni yai kupandikizwa genes za urefu, ufupi, weupe, akili nyingi nk.
Kuna ubaya wowote kuunda binadamu wa kisasa?