Njia zipi naweza kutumia ili simu yangu isiweze kudukuliwa?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,851
Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..?

Ni hivyo tu..
 
Kama mdukuzi ni serikali huwezi kuchomoka ila kama raia njia ziko nyingi tu ila ngoja wadau wenye akili zaid watupe muongozo
 
Pagumu hapo
Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!..

Huu ulimwenguni wa teknolojia ukiujua vizuri utajiona hata hapo ulipo upo uchi sana! Just imagine Kuna hackers wanaweza kukupiga picha kwa kutumia kamera ya simu yako!,upo zako unapiga punyeto huku ukicheki mrembo simuni kumbe Kuna Kobe zinakuona unavyozishughulikia nyege zako..🤣🤣
 
Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!.
Hii haifai asee 😲
 
Hakuna njia yeyote ambayo ni 100% itamzuwia hacker,ila unaweza uka minimize risk tu,
mataifa makubwa kama US nao ni wahanga wa hao hackers.
 
Hakuna njia yeyote ambayo ni 100% itamzuwia hacker,ila unaweza uka minimize risk tu,
mataifa makubwa kama US nao ni wahanga wa hao hackers.
Mkuu weka hizo njia walau tujisitiri hata kwa kufunika kichwa tu kama ostrich..😂
 
Kuna aina nyingi za udukuaji we udukuaji unaozungumzia ni wa aina gani wa mitandao ya jamii au mfumo mzima wa cm
 
Kitochi mkuu ni ngumu sana kuhack na ukihack namba jua unaishika sirikali masikio!. Kiujumla hacking inaweza kukuweka nyuma ya nondo au ukatoa miburungutu ya fedha! Nzuri ukitumia makampuni taarifa zinapita kwai then inakufikia wewe!..

Huu ulimwenguni wa teknolojia ukiujua vizuri utajiona hata hapo ulipo upo uchi sana! Just imagine Kuna hackers wanaweza kukupiga picha kwa kutumia kamera ya simu yako!,upo zako unapiga punyeto huku ukicheki mrembo simuni kumbe Kuna Kobe zinakuona unavyozishughulikia nyege zako..🤣🤣
Niliwahi kumsikiliza Mello, alikuwa anajenga hoja Kitochi ni rahisi zaidi kudukuliwa sababu hakuna Encryption, data zako zote zipo uchi kwa mtandao wa simu.

Na Android/ios nazo pia sio safe,

Kifupi mkuu eneo ambalo lipo salama labda ni hizi open source alternatives, uweke Aosp based Android na usi install app za ovyo ovyo.
 
Ubovu huko nje ya mifumo ndo Kuna apps nzurinzuri! So mkuu tunafanyaje kulinda simu zetu hakuna apps zinazoweza zuia hata isipokuwa kwa 100%
 
Ubovu huko nje ya mifumo ndo Kuna apps nzurinzuri! So mkuu tunafanyaje kulinda simu zetu hakuna apps zinazoweza zuia hata isipokuwa kwa 100%
Mkuu open source app zipo, unatakiwa tu ufanye utafiti mwenyewe upunguze Kadri itakavyowezekana.

Mfano unafanya Encryption simu, itasaidia ku kulinda na threat za nje, ila ukiweka app ile app ikawa ndani ya simu encryption haitasaidia chochote maana mwenye app anakuwa na mirija kusoma data kabla hazijafanyiwa hio encryption..

Hivyo kwa hizi os mbili za simu inakuwa ngumu sana, sababu udukuzi ni kama umehalalishwa.
 
Back
Top Bottom