Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

Magari ya Biashara

Senior Member
Sep 16, 2019
183
568
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.

Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.

Gharama za maisha zinapanda kila siku na katika sekta muhimu ya maisha ambayo hatuwezi kuikwepa mi usafiri.

Watu wengi tunapenda kuwa na usafiri binafsi mzuri na wa uhakika ila kuna wakati unataka kuchagua gari zuri ila unahofia juu ya gharama ya mafuta na kujikuta ukichagua gari ambalo moyo haujaliridhia ila tu mfuko wako wa pesa ndio umeridhia kwa kuwa utamudu matumizi ya kila siku ya mafuta.

Wengi hatuhofii kuingia gharama za kumiliki magari wakatibwa kununua mtu unaweza kujipinda na kutenga milioni 15 au 20 au hata 30 na kuagiza gari zuri tu ila kinachokuja kupasua kichwa ni gharama za kila siku za kulihudumia hilo gari kuanzia mafuta hadi kwenye services

Tunawaletea huduma ya kuongeza mfumo wa kutumia gesi kwenye magari.mfumo huu utapunguza gharama ya ku
tumia mafuta kwa 50%

Nini maana ya kupunguza gharama kwa 50%?
CNG(compressed natural gas) ni gesi asilia ambayo inaweza kutumika katika kuendeshea injini za magari.. Ni tofauti na gesi ya kupikia majumbani..

Gesi hii ni salama zaidi na haishiki moto kwa haraka ukilinganisha na mafuta...
Kilo 1 ya gesi inaweza kuzalisha nguvu ambayo ni sawa na 1.8 litre ya petrol ... Hapo utaona kabisa gesi inaweza kukupeleka umbali mrefu zaidi kuliko petrol

Cha kufurahusha zaidi bei ya kilo moja ya gesi ni ndogo kuliko klita 1 ya petrol..

Kilo 1 ya gesi ni 1,550

autogas_tanzania------------ on Instagram_ _Diesel   CNG (gesi asilia) kupunguza gharama__CM6m...jpg

Hiyo unayoiona hapo kwenye lorry la kampuni ya dangote ni mitungi ya gesi

Maana yake kama ulikuwa unatumia mafuta ya 45,000 kwa safari ya km 180.kwa sasa utatumia gesi ya 15,000 kwa safari hiyo hiyo bila kuathiri uwezo/perfomance ya gari.

Jambo muhimu ya kufahamu ni kuwa unapofunga mfumo huu wa kutumia gesi hauondoi mfumo wa mafuta bali unaongezea tu mfumo wa gesi na unaweza ku switch muda wowote ukihitaji kubadili nishati unayotaka kutumia kama ni mafuta au gesi

_c.n.g_tanzania shared a photo on Instagram_ _Autogas technology_ mfumo salama. Na mfumo unaop...jpg

Hapo utaona kuna valve ya gesi na kuna mfuniko wa mafuta ya kawaida

Ubora na uthabiti wa huduma hii
kama unajiuliza na kuhofia juu ya usalama wa gari lako au wewe mwenyewe basi ondoa shaka huduma hii inatolewa namtaalamu aliyeithinishwa kimataifa juu ya uwekaji wa huduma hii katika magari.. Wataalamu hawa wapo 3 tu tanzania walioidhinishwa na mamlaka za kimataifa juu ya matumizi ya gesi katika vyombo vya moto.hauwezi kwenda kujaziwa gesi kwenye gari lako bila miongoni mwa wataalamu hawa kukupa kibali cha uthibiti wa mfumo wako wa gesi kwenye gari lako.

Upatikanaji wa gesi ya kujazia kwenye gari

Mpaka sasa kuna vituo 2 vinavyojaza mafuta ambavyo vipo ubungo maziwa na kingine kipo tazara.. Na kuna vituo vingine 3 hapa jijini dar es salaam vipo kwenye hatua za mwisho kupitishwa kwa ajili ya utoaji wa huduma ya kujazia gesi .
Mpaka mwisho wa mwaka huu vitakuwa vimekamilika

Gharama zikoje?
Gharama za kuweka mfumo huu zinategemea na aina ya injine kama ni cylinder 4 au 6 au 8

Gari yenye injini ya cylinder 4 kuwekewa mfumo huu inagharimu milioni 1.8M, cylinder 6 ni milioni 2 na cylinder 8 ni milioni 2.4

Gharama ni nafuu sana kwakuwa ndani ya miezi 3 mpaka 4 utakuwa umeokoa kiasi hicho ambacho ulikitumia kuweka mfumo ( nina uhakika na hili)... Baada ya miezi hiyo maisha yako ya usafiri yatakuwa nafuu mnooo.

Wamiliki wa magari hasa yale ya biashara madogo kwa makubwa hufuma hii itawapunguzia gharama za mafuta na itaweza kurudishwa kwa kipindi cha miezi 3 tu

Kwanini uendelee kuwa na msongo wa mawazo kutokana na gharama kubwa za mafuta na wakati mkombozi yupo .wahi sasa huduma hii

Ni ndani ya siku 1 mpaka 2 tu gari yako inakuwa tayari kwa matumizi yako
Tumia gesi asilia kwa unafuu wa maisha

0613 11 31 90
 
Naomba unieleweshe zaidi kwenye hiyo sentensi
Kuna dhana ya woga kwamba gesi inalipuka kwa haraka na ni hatari ..hii dhana sio kweli..

Kwanza usalama wa mitungi ya gesi ni mkubwa na hairuhusu kuvuja..
Pili tunatembea na petrol kwenye magari wala hatuna hofu kwa nini iwe kwenye hii gesi asilia wakati ... Petrol inahitaji joto dogo tu kuwaka tofauti na hii gesi asilia

Screenshot_20210825-225036.png
 
View attachment 1908432
Asante Kwa avidence Kwa maana Watanzania wanapinga Kila kitu hata kama hawajui
 
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.

Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.

Gharama za maisha zinapanda kila siku na katika sekta muhimu ya maisha ambayo hatuwezi kuikwepa mi usafiri.

Watu wengi tunapenda kuwa na usafiri binafsi mzuri na wa uhakika ila kuna wakati unataka kuchagua gari zuri ila unahofia juu ya gharama ya mafuta na kujikuta ukichagua gari ambalo moyo haujaliridhia ila tu mfuko wako wa pesa ndio umeridhia kwa kuwa utamudu matumizi ya kila siku ya mafuta.

Wengi hatuhofii kuingia gharama za kumiliki magari wakatibwa kununua mtu unaweza kujipinda na kutenga milioni 15 au 20 au hata 30 na kuagiza gari zuri tu ila kinachokuja kupasua kichwa ni gharama za kila siku za kulihudumia hilo gari kuanzia mafuta hadi kwenye services.

Tunawaletea huduma ya kuongeza mfumo wa kutumia gesi kwenye magari, mfumo huu utapunguza gharama ya kutumia mafuta kwa 50%.

Nini maana ya kupunguza gharama kwa 50%?
CNG(compressed natural gas) ni gesi asilia ambayo inaweza kutumika katika kuendeshea injini za magari.. Ni tofauti na gesi ya kupikia majumbani.

Gesi hii ni salama zaidi na haishiki moto kwa haraka ukilinganisha na mafuta.
Kilo 1 ya gesi inaweza kuzalisha nguvu ambayo ni sawa na 1.8 litre ya petrol ... Hapo utaona kabisa gesi inaweza kukupeleka umbali mrefu zaidi kuliko petrol.

Cha kufurahusha zaidi bei ya kilo moja ya gesi ni ndogo kuliko klita 1 ya petrol.

Kilo 1 ya gesi ni 1,550
1629982880822.png

Hiyo unayoiona hapo kwenye lorry la kampuni ya dangote ni mitungi ya gesi.

Maana yake kama ulikuwa unatumia mafuta ya 45,000 kwa safari ya km 180.kwa sasa utatumia gesi ya 15,000 kwa safari hiyo hiyo bila kuathiri uwezo/perfomance ya gari.

Jambo muhimu ya kufahamu ni kuwa unapofunga mfumo huu wa kutumia gesi hauondoi mfumo wa mafuta bali unaongezea tu mfumo wa gesi na unaweza ku switch muda wowote ukihitaji kubadili nishati unayotaka kutumia kama ni mafuta au gesi.

1629983109134.png

Hapo utaona kuna valve ya gesi na kuna mfuniko wa mafuta ya kawaida.

1629983221297.png

Ubora na uthabiti wa huduma hii
kama unajiuliza na kuhofia juu ya usalama wa gari lako au wewe mwenyewe basi ondoa shaka huduma hii inatolewa namtaalamu aliyeithinishwa kimataifa juu ya uwekaji wa huduma hii katika magari.. Wataalamu hawa wapo 3 tu tanzania walioidhinishwa na mamlaka za kimataifa juu ya matumizi ya gesi katika vyombo vya moto.hauwezi kwenda kujaziwa gesi kwenye gari lako bila miongoni mwa wataalamu hawa kukupa kibali cha uthibiti wa mfumo wako wa gesi kwenye gari lako.

Upatikanaji wa gesi ya kujazia kwenye gari

Mpaka sasa kuna vituo 2 vinavyojaza mafuta ambavyo vipo ubungo maziwa na kingine kipo tazara.. Na kuna vituo vingine 3 hapa jijini dar es salaam vipo kwenye hatua za mwisho kupitishwa kwa ajili ya utoaji wa huduma ya kujazia gesi. Mpaka mwisho wa mwaka huu vitakuwa vimekamilika.

Gharama zikoje?
Gharama za kuweka mfumo huu zinategemea na aina ya injine kama ni cylinder 4 au 6 au 8.

Gari yenye injini ya cylinder 4 kuwekewa mfumo huu inagharimu milioni 1.8M, cylinder 6 ni milioni 2 na cylinder 8 ni milioni 2.4.

Gharama ni nafuu sana kwakuwa ndani ya miezi 3 mpaka 4 utakuwa umeokoa kiasi hicho ambacho ulikitumia kuweka mfumo ( nina uhakika na hili). Baada ya miezi hiyo maisha yako ya usafiri yatakuwa nafuu mnooo.

Wamiliki wa magari hasa yale ya biashara madogo kwa makubwa hufuma hii itawapunguzia gharama za mafuta na itaweza kurudishwa kwa kipindi cha miezi 3 tu.

Kwanini uendelee kuwa na msongo wa mawazo kutokana na gharama kubwa za mafuta na wakati mkombozi yupo .wahi sasa huduma hii.

Ni ndani ya siku 1 mpaka 2 tu gari yako inakuwa tayari kwa matumizi yako.

Tumia gesi asilia kwa unafuu wa maisha
 
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.

Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.

Gharama za maisha zinapanda kila siku na katika sekta muhimu ya maisha ambayo hatuwezi kuikwepa mi usafiri.

Watu wengi tunapenda kuwa na usafiri binafsi mzuri na wa uhakika ila kuna wakati unataka kuchagua gari zuri ila unahofia juu ya gharama ya mafuta na kujikuta ukichagua gari ambalo moyo haujaliridhia ila tu mfuko wako wa pesa ndio umeridhia kwa kuwa utamudu matumizi ya kila siku ya mafuta.

Wengi hatuhofii kuingia gharama za kumiliki magari wakatibwa kununua mtu unaweza kujipinda na kutenga milioni 15 au 20 au hata 30 na kuagiza gari zuri tu ila kinachokuja kupasua kichwa ni gharama za kila siku za kulihudumia hilo gari kuanzia mafuta hadi kwenye services

Tunawaletea huduma ya kuongeza mfumo wa kutumia gesi kwenye magari.mfumo huu utapunguza gharama ya kutumia mafuta kwa 50%

View attachment 1909482

Nini maana ya kupunguza gharama kwa 50%?
CNG(compressed natural gas) ni gesi asilia ambayo inaweza kutumika katika kuendeshea injini za magari.. Ni tofauti na gesi ya kupikia majumbani..

Gesi hii ni salama zaidi na haishiki moto kwa haraka ukilinganisha na mafuta...
Kilo 1 ya gesi inaweza kuzalisha nguvu ambayo ni sawa na 1.8 litre ya petrol ... Hapo utaona kabisa gesi inaweza kukupeleka umbali mrefu zaidi kuliko petrol

Cha kufurahusha zaidi bei ya kilo moja ya gesi ni ndogo kuliko klita 1 ya petrol..

Kilo 1 ya gesi ni 1,550
View attachment 1909479

Hiyo unayoiona hapo kwenye lorry la kampuni ya dangote ni mitungi ya gesi

Maana yake kama ulikuwa unatumia mafuta ya 45,000 kwa safari ya km 180.kwa sasa utatumia gesi ya 15,000 kwa safari hiyo hiyo bila kuathiri uwezo/perfomance ya gari.
View attachment 1909484

Jambo muhimu ya kufahamu ni kuwa unapofunga mfumo huu wa kutumia gesi hauondoi mfumo wa mafuta bali unaongezea tu mfumo wa gesi na unaweza ku switch muda wowote ukihitaji kubadili nishati unayotaka kutumia kama ni mafuta au gesi

View attachment 1909481
Hapo utaona kuna valve ya gesi na kuna mfuniko wa mafuta ya kawaida

View attachment 1909483

Ubora na uthabiti wa huduma hii
kama unajiuliza na kuhofia juu ya usalama wa gari lako au wewe mwenyewe basi ondoa shaka huduma hii inatolewa namtaalamu aliyeithinishwa kimataifa juu ya uwekaji wa huduma hii katika magari.. Wataalamu hawa wapo 3 tu tanzania walioidhinishwa na mamlaka za kimataifa juu ya matumizi ya gesi katika vyombo vya moto.hauwezi kwenda kujaziwa gesi kwenye gari lako bila miongoni mwa wataalamu hawa kukupa kibali cha uthibiti wa mfumo wako wa gesi kwenye gari lako.

Upatikanaji wa gesi ya kujazia kwenye gari

Mpaka sasa kuna vituo 2 vinavyojaza mafuta ambavyo vipo ubungo maziwa na kingine kipo tazara.. Na kuna vituo vingine 3 hapa jijini dar es salaam vipo kwenye hatua za mwisho kupitishwa kwa ajili ya utoaji wa huduma ya kujazia gesi .
Mpaka mwisho wa mwaka huu vitakuwa vimekamilika

Gharama zikoje?
Gharama za kuweka mfumo huu zinategemea na aina ya injine kama ni cylinder 4 au 6 au 8

Gari yenye injini ya cylinder 4 kuwekewa mfumo huu inagharimu milioni 1.8M, cylinder 6 ni milioni 2 na cylinder 8 ni milioni 2.4

Gharama ni nafuu sana kwakuwa ndani ya miezi 3 mpaka 4 utakuwa umeokoa kiasi hicho ambacho ulikitumia kuweka mfumo ( nina uhakika na hili)... Baada ya miezi hiyo maisha yako ya usafiri yatakuwa nafuu mnooo.

Wamiliki wa magari hasa yale ya biashara madogo kwa makubwa hufuma hii itawapunguzia gharama za mafuta na itaweza kurudishwa kwa kipindi cha miezi 3 tu

Kwanini uendelee kuwa na msongo wa mawazo kutokana na gharama kubwa za mafuta na wakati mkombozi yupo .wahi sasa huduma hii

Ni ndani ya siku 1 mpaka 2 tu gari yako inakuwa tayari kwa matumizi yako
Tumia gesi asilia kwa unafuu wa maisha

0677 818283
Huku kasulu Muna ofisi kata gani?
 
Back
Top Bottom