kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijaona mahala Spika Tulia Ackson alipoisigina Katiba ya JMT. Mnaolalama mnalalama bila kutumia busara

    Kwa taifa letu katiba ndio mwanzo na mwisho juu ya uendeshaji wa nchi. Kugawa madaraka ya mihimili na kuwapa wananchi haki zao. Hii ni kwa sababu taifa letu lina katiba iliyoandikwa. Yaani written Constitution. Haina ubishi kuwa ni kwa mujibu wa katiba ya JMT mbunge akifutwa uanachama basi...
  2. Ujerumani waanza kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya Nishati

    Amkeni kumekucha hukooo. Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA 😅😅😅😅😅 Mshtueni J. Makamba kwamba tumepata soko la uhakika la kuuza makaa ya mawe Germany has taken a "bitter" decision to fire up idle coal power plants to reduce its reliance on Russian natural gas, as Vladimir Putin...
  3. M

    Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

    Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
  4. Msaada namba ya kutumia mizila Firefox.

    Naomba kujuzwa namna ya kuhifadhi(save) page for offline kwa fire fox(mozila) Kama ilivyo kwa operamin tafadhali.elimu Haina mwisho.
  5. Msomi wa Bachelor of Science with Education, pia nina uwezo wa kutumia kompyuta na nimepitia mafunzo ya JKT

    Naombeni kwa waajiri wowote wanaohitaji kijana mchapa kazi na anayejituma, wanicheki kupitia 0624843841. Nipo Dar, Temeke.
  6. Ujenzi wa Kutumia EPS na EPS Cement Sandwich Panels

    Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania. Kati ya materials hizo mbili zipi bora kwa kujengea? Za kwanza ni EPS Pannels zikiwa kwenye ujenzi. Na hizi...
  7. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na itaokoa gharama kubwa kwa serikali. Amesema kuwa unakuta mtu anasafiri siku 3 au 4 kwenda kuhudhuria...
  8. Uwakala wa NMB bila kutumia mashine ya kutolea risiti

    Habari za leo wakuu: Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
  9. Maisha ni vita, usikariri kutumia silaha Moja

    MAISHA NI VITA, USIKARIRI KUTUMIA SILAHA MOJA! Anaandika Robert Heriel Wataalamu WA vita watakubaliana na Mimi kuwa uwapo kwenye vita hakuna kanuni ya Moja Kwa Moja inayotumika, mtapigana kadiri adui ajavyo na kadiri Hali ilivyo, hakuna kukariri silaha Fulani ndio lazima uitumie kila sehemu...
  10. Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

    Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe. 1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji. 2...
  11. L

    Msanii wa kabila la Oroqen atengeneza sanaa kwa kutumia gamba la mti wa mbetula

    Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China. Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi...
  12. Umoja wa Ulaya waunga mkono hoja ya simu zote kutumia chaja moja

    Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia...
  13. Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako

    Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo: 1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja 2. Matunda Kiasi cha...
  14. Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
  15. Q

    CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  16. Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

    Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
  17. Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  18. Ni hatari sana kutumia simu hasa kuchati ukiwa barabarani

    Nazungumzia hizi busy roads za mijini na sub urban. kuna watoto wa.mjini wanajikuta wao na simu ni Alpha Na Omega. Hawatenganishwi na Tecno zao. Nawaasa sana unapokuwa katika movement barabarani, kama una sms ama simu muhimu sana ya kujibu, simama pembeni kwenye usalama malizana na mtu kwenye...
  19. Mbinu mbadala ya kumtambua potential 'soul mate' kwa kutumia vidole!

    Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena inayogundulika mapema ya kumjua potential soulmate wako. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi vile...
  20. Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari kama JINI Kabula, Sasa Leo nataka tuguse kidogo issue ya kutumia maji ya Bomba [tap water]katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…