Umoja wa Ulaya waunga mkono hoja ya simu zote kutumia chaja moja

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,855
6,271
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi ya bidhaa zake

EU imesema Kanuni hizo zinazotarajiwa kuanza kutekelezwa 2024 zinalenga kupunguzia wateja usumbufu wa kutumia Chaja tofauti katika vifaa vyao na kudhibiti uchafu wa kielektroniki kwa kuondoa ulazima wa kununua Chaja mpya kwa kila unaponunua simu

Baada ya maridhiano hayo, Kanuni hizo zitahitaji kupitishwa na Bunge pamoja na Baraza la Ulaya

=======

The European Union has agreed new rules which mean all smartphones sold in the bloc will be required to have a USB-C port for charging.

The rules are set to come into effect by autumn 2024 and will have a substantial impact on Apple’s iPhone, which is the only major smartphone not to already use the connection.

The iPhone uses Apple’s Lightning port for wired charging.

The EU said the new rules aim to reduce hassle for consumers and curb electronic waste by removing the need to buy a new charger with a new device.

The rules will apply to “all small and medium-sized portable electronic devices”, while laptops will have to be adapted to fit the requirements 40 months after they come into force.

The move needs to be approved by the European Parliament and European Council later this year, but that is expected to be a formality now the outline of the proposals has been agreed.

European Parliament spokesman Alex Agius Saliba said: “Today we have made the common charger a reality in Europe.

“European consumers were frustrated long with multiple chargers piling up with every new device. Now they will be able to use a single charger for all their portable electronics.

Having one common charging standard would be a victory for common sense in the eyes of consumers

“We are proud that laptops, e-readers, earbuds, keyboards, computer mice and portable navigation devices are also included in addition to smartphones, tablets, digital cameras, headphones and headsets, handheld videogame consoles and portable speakers.

“We have also added provisions on wireless charging being the next evolution in the charging technology and improved information and labelling for consumers.”

Ben Wood, chief analyst at CCS Insight, said the announcement could become a “non-issue” for Apple as the firm already uses USB-C on a number of other products.

“Having one common charging standard would be a victory for common sense in the eyes of consumers,” he said.

“Although Apple has made a strong argument for it keeping its Lightning connector, given the one billion active iPhone users, some of its products including Mac and iPad Pro now support USB-C.

“Hopefully it will eventually become a non-issue if Apple keeps adding USB-C to more devices and that means ultimately we could see USB-C coming to iPhone.”
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,669
2,098

Hii inawahusu wenye Tecno?
 
kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,537
1,430
sasa cha kufanya Apple watoe iPhone za wireless tu ambazo hazina port yoyote ili wenye USB wapambane na hali zao …
 
Karao

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,018
524
Nasubiri na umoja wa africa nisikie umuzu wao hukusu jambo hilo
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
26,927
29,981
walijifanya hawafungashi charger kwenye box kisa mazingira.

haya wanaonyeshwa mchezo wa mazingira kwa ukubwa zaidi sasa.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
26,927
29,981
sasa cha kufanya Apple watoe iPhone za wireless tu ambazo hazina port yoyote ili wenye USB wapambane na hali zao …
siku zote apple huwa haanzishi jambo la heri.

huwa anaanzisha jambo la kiwaki.
earphone jack ikawa pigo kwa watumiaji wa phone za waya.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
28,145
32,492
siku zote apple huwa haanzishi jambo la heri.

huwa anaanzisha jambo la kiwaki.
earphone jack ikawa pigo kwa watumiaji wa phone za waya.
Usb ni much better kuliko Lightining moja ya faida kubwa ya usb 3 na kuendelea ni uwezo wa kutoa Video out, yaani unanunua tu ka Waya ka elfu kadhaa usb kwenda hdmi ama usb port unatumia simu ama Tablet kama deki/receiver/tvbox kuangalia mambo mbalimbali kwenye tv ama kutumia kama Desktop kwenye monitor.

Hivyo ni jambo jema na wao waonje mazuri ya Dunia kidogo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom