Ujenzi wa Kutumia EPS na EPS Cement Sandwich Panels

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,629
2,043
Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania.

Kati ya materials hizo mbili zipi bora kwa kujengea? Za kwanza ni EPS Pannels zikiwa kwenye ujenzi.

IMG-20220616-WA0091.jpg

Na hizi zinazofuatia ni EPS Cement Sandwich Panels.

download.jpeg


Wataalam wa ujenzi karibuni.

NB: Materials hizi zimetumika sana kwenye nchi zilizoendela

serio
 
Back
Top Bottom