CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;

"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."

"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"

"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."
 
CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati
emoji1534.png
emoji1534.png
emoji1534.png
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;

"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."

"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"

"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."
Kupinga kila kitu bila reasoning ni upumbavu..

Kwani serikali haiwezi kuwa wabia na hao CCM na kugawana mapato kuliko ilivyo sasa kwamba pesa zote zinaenda ccm?

Huu ni ujinga,ikizingatiwa kwamba Serikali inajiandaa na Mashindano ya AFCON 2027,, ukisema ujengw saizi sidhani kama unaweza maliza viwanja kwa miaka 3 au 4 ..
 
ukweli kabisa hela za serikali zisihusike huko,lakini pia huyu bwana aweke wazi viongozi wenzake wakuu wameongea nini na mama ikulu?
 
Tungekua na wanasheria huru na wasiotetemekea watawala, serikali na bunge wangeburutwa mahakamani tu hata kama mahakama zetu za maigizo na maagizo!!
Nilikuwa na mawazo kama yako hivi wanasheria hawezi kwenda mahakamani kuzuia hili.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;

"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."

"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"

"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."
Kwakuwa walivipora basi Hilo rulikubali,Sasa vimewashinda waziuzie serikali za miji,majiji na wilaya ilibviwe Mali za serikali.Kwa kupanga bajeri ya pesa za serikali kujenga viwanja vya chama kimoja huo ni WIZI na hapo wizara husika wamepotoka.
 
Kupinga kila kitu bila reasoning ni upumbavu..

Kwani serikali haiwezi kuwa wabia na hao CCM na kugawana mapato kuliko ilivyo sasa kwamba pesa zote zinaenda ccm?

Huu ni ujinga,ikizingatiwa kwamba Serikali inajiandaa na Mashindano ya AFCON 2027,, ukisema ujengw saizi sidhani kama unaweza maliza viwanja kwa miaka 3 au 4 ..
Ina maana hukosoma hiyo thread yote au ndiyo ukiwa CCM lazima ujitoe ufahamu? Hujaona sababu zilizoelezwa hapo?
 
Nimesoma ila ccm hawawezi kuvirudisha kwa sababu ni mali yao,pia serikali haiwezi kuacha kuvikarabati kwa sababu inatakiwa kuandaa Mashindano ya AFCON na hakuna muda wa.kutosha wa kujenga viwanja vipya kabla ya 2027.
 
CCM ni taasisi kubwa inayounda serikali. CCM ni chama dola ambacho kinaendesha shughuli zote za umma.

Hata hivyo viwanja ni vya umma maana hakuna unabaguzi wa aina yeyote katika matumizi. Vyama vyote na makabila yote yanavitumia.

Kwa hiyo matumizi ya hizo hela yapo sahihi
 
Majambazi wanaiba pesa za umma mchana kweupe

Pesa ya watz kampeni wanafanya ccm pekee, ukarabati tufanye wote ,haya majanga
 
Back
Top Bottom