Ujerumani waanza kutumia makaa ya mawe kwa ajili ya Nishati

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Amkeni kumekucha hukooo.
Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mshtueni J. Makamba kwamba tumepata soko la uhakika la kuuza makaa ya mawe

Germany has taken a "bitter" decision to fire up idle coal power plants to reduce its reliance on Russian natural gas, as Vladimir Putin throttles supplies to the country.

Gazprom, the state-controlled Russian energy company, cut natural gas flows through the Nord Stream pipeline to Germany by around 60% last week.

"This is bitter, but it's essential in this situation to reduce gas consumption," Robert Habeck, economy minister and a senior member of the Green party, said in a statement.
Germany said it intends to cut the use of natural gas so it can fill its storage tanks ahead of the winter, when demand rises.

"The situation is serious," Habeck, who is also vice chancellor, said. "We are therefore further strengthening precautions and taking additional measures to reduce gas consumption. This means gas consumption must continue to fall, so more gas must be stored, otherwise things will get really tight in winter."

Germany's decision to turn back to coal power, which is highly carbon intensive, underscores how Russia's invasion of Ukraine and the subsequent surge in energy prices is threatening governments' climate policies. The German parliament passed a law in 2020 to phase out the use of coal entirely by 2038.

Russia has said Gazprom's decision to slash natural gas flows to Germany is the result of Canadian sanctions which have meant key pieces of equipment are stuck in Montreal.

But Germany has disputed this argument, pointing out that there are alternative pipelines that could be used.
The move has sent natural gas prices soaring and raised the prospect of shortages of the vital energy source during the winter. Germany imported around half of its natural gas from Russia in 2021.
 
Attachments

  • Screenshot_20220622-134040_Facebook.jpg
    Screenshot_20220622-134040_Facebook.jpg
    229.3 KB · Views: 6
Amkeni kumekucha hukooo.
Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA

Safi kabisa hakuna kutumia Nishati ya Mrusi. Lazima asimamishwe.

Viva Germany
 
Kwani huko nyuma pia si walikua wakitumia hayo makaa ya mawe na waliamua kubadili ili kulinda mazingira. Kuna popoma mmoja kasema watakufa na baridi, ajiulize kwani huko nyuma kabla ya kuanza kutumia gesi walikua wanatumia nini. China mwenyewe mpaka leo bado anatumia makaa ya mawe.
 
Umesoma uzi vizuri au upopoma wako umekukimbiza kwenye comments? Vinu vinahitaji service kubwa na technology ambayo ulishaacha kuitumia inapitwa na wakati
 
Kwani huko nyuma pia si walikua wakitumia hayo makaa ya mawe na waliamua kubadili ili kulinda mazingira. Kuna popoma mmoja kasema watakufa na baridi, ajiulize kwani huko nyuma kabla ya kuanza kutumia gesi walikua wanatumia nini. China mwenyewe mpaka leo bado anatumia makaa ya mawe.
Twende taratibu ...

Wengi wanafikiri Ulaya kupinga uamuzi wa kuachana na gas ni kama walikurupuka, hawakujua kuwa walishajipanga kukabiliana na shida ya kutotumia na gas ya urusi.

Tutambue kuwa bado kuna mataifa kadhaa wanauza gas mbali na Russia. Hizi nchi za ulaya zitapambana tu hata kwa miaka kadhaa ila watakuja watatua hii changamoto.

Tukumbuke kuwa wana maelfu ya matrilioni ya kirusi wameyahodhi, pengine haya mapesa kwa sehemu ndo watatumia kununulia gas na mafuta kwa mataifa mengine.

Tunapaswa kuelewa kwa ulimwengu wa sasa tuliopo, mzungu hakurupuki kabisa. Anajua ni nini anakifanya, anajua miaka ya mbele atakuwa wapi.
 
Russia sio Zimbabwe
 
Duh kaka punguza shobo kwa wazungu.mahaba yako kwao we shauli yako utaol*wa.
 
Back
Top Bottom