kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kiongozi kwenye hotuba yake kutumia dakika 10 kutambua itifaki ya waliopo?

    Sijui Mimi ndio sielewi au ndio utaratibu au ni ujinga wetu wa kiitifaki Africa? Unakuta kiongozi anapanda kwenye podium wanatumia dakika mpaka 10 kutambuwa itifaki wakati hotuba yake yenyewe ni kama ya dakika saba tu. Na point yangu hapa kama itifaki ingekuwa ni ya kumtaja Rais tu na kusema...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia tufanye yafutayo haraka. Tutengeneze mpango kabambe wa kuwawezesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa. Tutoe ruzuku kwa ajili ya kupunguza gharama ya majiko ya gesi pamoja na mitungi ya gesi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Gharama watakazoepuka watanzania wakichagua kutumia nishati ya gesi kupikia (M-Gas)

    Unapozungumzia nishati ya uhakika kwa ajili ya kupikia kwa watanzania, hauwezi kuacha kuutaja mkaa na kuni. Watu wengi hutumia nishati hiyo kwa sababu ni rahisi kupatikana na wanaweza kumudu gharama yake tofauti na nishati nyingine kama gesi. Kutumia gesi (M-Gas) wakati wa kupika chakula kuna...
  4. Inalipa

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

    Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua chujio la hayo maji yafae kutumia

  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

    Yani hata hizi gb 60 kwa mwezi kwangu ni ndogo najibana, ingekuwa najiachia basi kila nikitoka kazini navyopumzika kwa saa nikimruhusu mtoto acheki katuni zake kwenye Netflix 4k kwenye tv basi ndani ya muda huo gb 6 zishakatika, hapo sijahesabia matumizi yangu. - Nafanya online backups za...
  7. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuagiza bidhaa kutoka Marekani kwa kutumia kampuni ya Myus

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import. Clearance...
  8. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time. Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
  9. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako na jinsi utakavyo okoa fedha nyingi

    Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako. 1. Ukijaza gesi ya Tsh. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200. Tsh. 17000 = Km. 200 ? = Km. 1 Km. 1 = Tsh. 17000/200 = Tsh. 85 Kikawaida ukijaza lita moja ya petroli unaweza kusafiri kilomita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kutumia Kamikaze drones, vifaru na vifaa vingine vya kijeshi vya Ukraine vinaunguzwa kama mchezo fulani!

    Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has published new footage of kamikaze drone strikes against Ukrainian troops. The attacks were carried out...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuwa invisible, kuwasha nuru yako ya rohoni na kutumia nguvu ya ardhi na anga ili ufanikiwe

    Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo za Dunia, kwanin ni ngumu sana kukuta tajiri na ameokoka hata kama unamafanikio kitendo Cha kusema...
  14. adriz

    JamiiForums Tanzania Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  15. Isaac1

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu mbili ktk simu moja

    Habari zenu naombeni kujua je ni aina gani ya redmi yenye uwezo wa kutumia kujigawa simu mbili kwenye simu moja ukiachilia redmi note 11?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  18. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania Program gani ambayo naweza kutumia nikiandika swahili iniletee English kwa ufasaha zaidi ukiacha translator

    Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
  19. adriz

    JamiiForums Tanzania Mlioacha kutumia pilipili mliwezaje? Licha ya kunidhuru kila ninapotumia nimeshindwa kabisa kuacha ulaji wake

    Habari za muda huu wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa pilipili tokea udogoni mpaka sasa mpaka kuna kipindi nikawa ninajiuliza hivi wapi kuna mashindano ya ulaji wa pilipili na mimi nikawakilishe vizuri taifa langu? Na kwangu chakula chochote bila pilipili kwangu naona hakina maana na mzuka...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa sababu kuna uhalifu mkubwa wa kutumia silaha, jeshi la polisi liandae wadunguaji makini " sharpshooters" ili kumaliza majambazi.

    Majambazi wanalitesa sana taifa letu. Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi. Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza...
Back
Top Bottom