kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kutumia Quran/ Biblia kwenye kiapo kuangaliwe upya

    Nimekuwa natafakari hili jambo la kutumia Quran/Biblia kwenye kiapo naona kama halipo sawa; kwani linakosa uhalisia; hii ni kwa sababu zifuatazo; 1. Kile kinacho apiwa hakitumii sheria wala taratibu za dini husika. 2. Kuapa kwa kutumia kitabu kitakatifu na ndani ya muda mfupi mtu aende...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

    Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa. Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo. Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa. Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

    Ila bado tunahitaji ufafanuzi wa hicho mnchoita thamani ya forodha na mjiongeze kwa kuweka sheria na kifungu husika kinachowaongoza kutenda haya ambayo yanaliza watu kila siku
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu kutumia case ya Fei Toto kama reference kufundishia law of contract

    Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi. Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu, Young African Sports Club VS Feisal Salum Japo swala lake liliamriwa na TFF ambayo ilijivika kuwa tribunal .tofauti na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  8. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  10. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Fujitsu obvious recorder kwenye nyumba

    Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani. Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye gari kurekodia matukio yanatotokea nyumbani kama mbadala wa CCTV?
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  12. amadala

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Kylian Mbape ni kutumia matone ya Vitamin A na Minyoo

    Mchana mwema❗❗
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TPA kuanza kuendesha eneo la TICTS Januari 2023

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema kuanzia Januari Mosi, 2023 mamlaka hiyo italiendesha eneo lililokuwa likitumiwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS). Kauli hiyo, imetolewa leo Jumatano Desemba 21, 2022 na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Juma Kijavala...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeharisha anaweza kutumia soda?

    Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha." Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha anapoteza madini nw maji mengi sana. Na mara nyingi hii ndiyo hupelekea kufa, hasa kwa watoto. Kwa hiyo mtu...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Bank makes you poor

    Banking, Have you ever looked at how much money you give your bank every year? This doesn’t just include the commission you pay your bank for commission and not to mention those dreaded overdraft fees. Think about it, if you average ten overdraft fees a month and each charge is $33, you are...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  19. Financial

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Back
Top Bottom