Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49).
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona?
Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa.
Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
New update . . . . 25.12.2022
Merry Christmas and Happy New Year 2023.
Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto
Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa...
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya.
Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa unlinited internet ya fiber kupitia nyaya za kwenye nguzo hasa maeneo ya town, unavutiwa waya nyumbani...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa.
Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
Habari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara.
Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.
Sasa ni zamu ya Iran
Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo.
Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara!
Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
Tumekua watu wa kurudia na kurukia kila jambo siku za hivi karibu kumekua kampeni za kuipigia chapuo kampuni moja hisa ambayo gesi majumbani ikiwa ni kampeni ya kusisitiza wananchi wa Tanzania kutumia gesi which is good ila suala linakuja kwanini hiyo kampuni.
Kwanini bwawa la JNHPP...
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu.
Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.