kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  2. Nitaenda Misaa yaTatu

    Mwachiluwi Kwenye pishi hili la vitafunwa naweza kutumia maji badala ya maziwa? Sipendi maziwa mimi

    Mwachiluwi Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo. Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote. Je naweza kutumia maji mbadala wa maziwa na ladha ikabaki vilevile?
  3. immortanity

    ipi ni vpn nzuri kutumia kwenye PC

    Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
  4. ngara23

    DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  5. Prof_Adventure_guide

    Damu Imenyesha Juu ya Katiba: Watanzania Wameuawa Kwa Kutumia Haki Zao

    Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda. Ni aibu ya...
  6. Abraham Lincolnn

    Hivi unawezaje kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji?

    Haya yalikuwa ni mauaji ya makusudi kabisa, Hakuna nchi yeyote duniani ambapo polisi hutumia risasi na bunduki wanapokuwa wanakabiliana na waandamanaji. Wengi wa waandamanaji mara nyingi ni raia wa kawaida tena wasio na mafunzo kabisa ya kijeshi unawezaje kutumia bunduki dhidi yao? Katika...
  7. baz kaiza

    GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  8. Idugunde

    GE2025 Factum probandum imeyeyuka . Wanaona aibu kufuta kesi. Kutumia Mahakama kunyanyasa wanasiasa ni aibu

    Ushahidi ambao waliutegemea kuwa msingi wa kumtia hatiani Lissu umekataliwa na mahakama. Factum probandum. How can they prove then? Hata mashahidi waliofuafa walitegemea kukazia huu ushahidi uliokataliwa. Ndio maana leo wametoka nduki Kutumia mahakama kunyanyasa Wazalendo kama Tundu Antipasi...
  9. Nyamwage

    Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia
  10. wa stendi

    Naomba mnifundishe kutumia mtandao wa X'

    Yaani nikitaka kuposti maneno au ukurasa mzima nafanyaje . Maana hata kwa kuandika naona kama kuna mwisho wa tarakim fulani hata nifanyeje haiendelea hata kupost labda maneno nimekopi kama ni ukurasa fulani haikubali je !hua mnafanyaje msaada hapa
  11. JanguKamaJangu

    GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

    “Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo. “Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.” Hiyo ni kauli ya...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  13. JamiiCheck

    SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  14. Fbn

    Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  15. M

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 ) AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 ) Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 ) Windows 11 -...
  16. Damaso

    Siasa na Imani: Hatari ya Kutumia Dini Kama Kigezo cha Kampeni

    Ukishindwa kutumia busara katika kunadi sera zako wakati kampeni basi tumia utimamu kuangalia maneno unayozungumza. Ni hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakiingia katika kiwango cha ujinga na upumbavu kwa kutumia maneno ya dhihaka dhidi ya imani za kidini, hasa Ukristo, ili...
  17. Brayan_Jk

    Geuza Shamba Lako la Kuku Kuwa Mashine ya Kipato cha Uhakika kwa kutumia Fuga App

    Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali. Pakua Fuga App leo na chukua udhibiti wa shamba lako!
  18. Grau

    Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  19. Mshana Jr

    Je, Lucy Shayo kakaa Lupango wiki nzima kwa tuhuma za kutumia laini isiyo yake?

    Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu: 1. Mawaziri wengi wakitaka...
  20. B

    Ununuzi wa viwanja kutumia mfumo wa Tausi

    Naomba kuuliza wanaJF, Hivi unaweza kununua viwanja kwenye mfumo wa Tausi na kikawa na migogoro?
Back
Top Bottom