Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda
Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini
Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi.
Je video hii ina uhalisia?
Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini.
Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome.
Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu.
Maxence Melo fanya kanamna basi!
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha...
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO.
Pandex(+255 743 549 126)
Pandex Herbal Clinic
Dar es salaam
ILALA BOMA.
PANGANI & UTETE STREET
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya.
Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)":
Modes &...
Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026.
Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented.
Na unajua madhara ya kua documented?
Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference.
leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao.
Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya;
1. Je...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao.
Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
Kwenda kazini: 13 km
Mizunguko : 12 km
Kurudi nyumbani: 13 km
Jumla ni takribani 38 km kwa siku.
Gari langu linatumia wastani wa lita 1 kwa km 9 hadi 10, hivyo kwa siku natumia takribani elfu 15 hadi 16
Kwa mwaka hata nikipumzika jumapili, matumizi ya mafuta yanakaribia milioni 5.
Baada ya...
18 Julai 2026
Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia.
Kwa kutumia Grok Imagine...
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.
Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
==...
Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme.
Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km.
Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
Anonymous
Thread
barabara
daraja
dit
elimu africa
jengo
kutumia
mdogo
usalama
wanafunzi
Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k.
Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji.
Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900.
Petrol - 4000 kwa lita
Gesi - 1545 kwa Kg
Sasa tuangalie upande wa gesi.
Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
gari
gesi
gharama
gharama za mafuta
kila mwezi
kubadili
kuokoa
kutumia
mafuta
matembezi
matumizi
mbili
mfumo
mjini
msingi
muhimu
mwezi
naomba
naweza
sababu
sababu za
shilingi
wakati
yangu
zaidi ya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.