Rais ajaye bila kutumia elimination method hatoboi

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,753
Reaction score
19,334
Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye.

Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa.

Ni either ushirikiane nao kama Rais Samia anavyofanya au wakubomoe.
 
Gentleman,
agenda ya Taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, full stop.
 
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.
P
 
Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye.
Naomba uwe na heshima, usiite watu tegemewa kuwa ni mafisadi papa kutoka CCM mtandao, hao ni watu muhimu sana kwa chama chetu na nchi yetu!, laiti ungelijua wanakisaidia chama kwa kiasi gani na kuisaidia nchi kwa kiasi gani, usinge sema!.
Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa.
Sii kweli lengo la CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania, hawa ni wawezeshaji muhimu kwa chama, ambao ndio wazalendo wa kweli wa nchi hii, wakiwanunua wawekezaji wageni na uchumi wa nchi kumilikiwa na Watanzania wazalendo. Hili ni jambo jema.
Ni either ushirikiane nao kama Rais Samia anavyofanya au wakubomoe.
Hapa nafuata msemo wa Mhe. Nape, "kinyago uchonge mwenyewe, kikutishe"!.

P
 
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.
P
Mnamharibia TU mzee wa watu...makonda alisema hawezi kupewa u pres..
 
Slow slow alikuwa ni toleo la mbele sana kuhusu hii maneno ya deep state.
 
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.na
P
Huyo Dr wenu ameshapitishwa na mchakaro au chombo gani? Inamaa huko ccm wanachama wanaendelea kuburuzwa tuu kwa kupangiwa watu kabla vikao halali vya chama? Kazi ipo
 
Kwani aliyepo alipitishwa na vikao gani?, Kitendo cha mtu wetu kuwa ni VP, huko ni kupitishwa tosha, utaratibu ule uliompitisha mtangulizi wake, pia utatumika kwake!

Hahaa ndio mana nikasema kumbe ule utaratibu wa kuletewa tu mgombea bila vikao halali unaendelea!!! Poor wanachama kindaki ndaki wa ccm wanaochomeka na jua mitaani wasiojua hata ni kwa jinsi gani wanavyoburuzwa
 
Naunga mkono hoja!, huu ndio ukweli wa mambo!, mwenye macho na aone, mwenye masikio, na asikie!. Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, hivyo taarifa kama hizi ni muhimu sana kuwasaidia vipofu hawa na viziwi hawa, kuona na kusikia!.
P

Mtamuongezea Maadui tu. Hii vita iliyotengenezwa between these people. Lazima kuna mtu atakwenda under....!!
 
Anayepanga sio yeye, mpangaji ni YEYE, kama aliyepangiwa ni yeye, then ni yeye tuu, hata watu wafurukute vipi, aliyepangiwa ni amepangiwa!.

Hata kwa Samia, tukio lilitokea tarehe 12, the deep state wakataka kubadili mchezo, wakampa VP trip ya Tanga, wakaandaa a presidential decree on behalf ya mhusika kuwa amemteua fulani kwa nafasi yake, yule mjeshi akawagomea ndipo ikatangazwa ile tarehe.

Samia alipoamua atatupa karata yake 2025, tulimuunga mkono PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Hivyo wakati tunasikilizia sauti ya YEYE kama ni Samia, mara nikaisikia sauti HII

2025 wakahisi ukifanyika mchakato wa kawaida kutatokea figisu, ndipo ikaamuliwa wapitishwe juu kwa juu.
Sisi wa kushauri, tukashauri Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa kilichotokea October 29 ni matokeo tuu na sio chanzo!.

Ni kweli kabisa, hizi kukuru kakara za kukalia kiti 2030, zikiendelea unchecked, kuna watu wataumia bure!, kuna vitu usifanye navyo mchezo kabisa, kaa navyo mbali.

P
 
Back
Top Bottom