Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia JF
1. Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran
2. Nashindwa kudouble reply
3. Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine
Msaada
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema itaendelea kuunga mkono matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na wazalishaji wa ndani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa sambamba na kuimarisha upatikanaji wa vifaa vinavyosaidia utoaji wa huduma ya majisafi...
Gari ni Brevis
Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6
Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2
Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1
Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9
Is...
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA...
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai
Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
Habari
Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu
Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui
Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua
Bora Hawa watu wa afya...
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
Former England and Manchester United footballer Rio Ferdinand was widely criticised for a May 2026 trip to Tanzania, with campaigners accusing him of "sportswashing" for the government. [1]
The backlash centers on the following specifics:
The Host: Ferdinand's visit was hosted by Tanzania's...
Hili ni wazo tu,mamlaka zetu tukufu zione jinsi gani tutaweza kujiunga mitandaoni kwa kutumia NIDA namba,and then mtandao wenyewe uka translate jina la muhusika halisi hii itasaidia sana kuwabaini wale wote waovu wa taifa letu,bila shaka nchi nyingi sana zitaiga hili wazo kwetu Tanzania,
Thank...
Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu?
Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye maboksi ya TV huko nchini Marekani bila ridhaa yake.
Katika kesi hiyo iliyofunguliwa kwenye...
kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani?
Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .
Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.
Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.
Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .
Leo hiii...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la Arusha kwamba angemleta nguli wa filamu na mwanasiasa wa Marekani, Arnold Schwarzenegger, katika sherehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.