kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

    Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu. NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
  2. Cybercurex

    Nimedisgn e-commerce App Kwa kutumia flutter

    Mambo vipi wadau Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha uwezo wa Flutter katika kutengeneza apps zinazovutia kwenye UI/UX. Features za App hii: Home...
  3. digba sowey

    CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
  4. Mwachiluwi

    Hivi ni mimi tu sipendi kutumia Ofisi za Serikali?

    Binafsi sipendi kabisa kwenda hospital za serikali ukifika watumishi wana jifanya wapo bise kuliko kawaida una jielezea shida yako DR wakiume ana kuangalia kwa jicho La dharau sana Ukija TRA hapa sito enda tena namtuma mtu afwatilie nipigiwe simu tu uki ingia ofisi zao wana jifanya kama hawa...
  5. ankol

    Jinsi ya kutumia passlight

    Habarini madereva. Naomba kufahamishwa mana ya ishara ya passlight. Je ukiwashiwa moja kwa moja inamaanisha nini? Ukiwashiwa kwa kublink pia inamaanisha nini? Ukiwashiwa mara moja ina maanisha nini? Asanteni.
  6. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  7. Cybercurex

    Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  8. Inside10

    Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  9. kavulata

    Mzize kwenda Kaskazini atafakari sana, ajifunze kwa kutumia makosa ya wenzake, Selemani Mwalimu, Chama na Miquison.

    Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad. Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
  10. idliss

    Je, unajua kukuza biashara yako kwa kutumia taarifa(Data) zako?

  11. D

    Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  12. Lord Denning

    GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  13. Heritage123

    Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  14. Manyanza

    Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  15. K

    Samia na CCM wanajiandaa kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM kutanua wakati wa kampeni

    Wakati wakandarasi hawalipwi na wanalazimika kulipa 10% hata kama pesa imechelewa serikali na Mama Samia wanajiandaa kutanua wakati wa kampeni na chama cha ubwabwa Wamajiwekea buget ya kutumia Billion 700 na Billion 100 ya CCM pekee. Kati ya pesa hizi vyama sindikizi vitasaidiwa
  16. DuaZaMama

    Tanzania kuanza kutumia Robot kwenye upasuaji wa moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewapokea wageni kutoka Hospitali ya Apollo ya India waliotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya tiba utalii na huduma za kibingwa. Dkt. Kisenge amesema kuwa JKCI imeanzisha...
  17. Zekoddo

    Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  18. Waufukweni

    Greyson Babishomba awapa tip wanaoteseka na mapenzi: Zibeni tundu moja la pua

    Wakuu! Greyson Babishomba amekuja na dawa ya Wanaoteswa na mapenzi "Wanaoteswa na mapenzi wazibe tundu moja la pua na kupumua kwa kutumia tundu hilo moja, Hii husaidia kuondo maumivu ya kichwa na kuondoa msongo wa mawazo"
  19. ZOYA internet

    Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas. BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
  20. M

    Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

    Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!! Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
Back
Top Bottom