Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa.
Taarifa hiyo imetolewa jana Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia...