kushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora kwenye huduma na bidhaa. Ndugu Baraka Mbajije (Afisa udhibiti ubora - TBS) amesema lengo la Tuzo hizi ni kuhakikisha kuwa mifumo ya bidhaa na huduma...
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mkaiita mashindano ya walioshindwa na leo mnashangilia kushiriki mashindano hayo?

    Kila mdau wa clab cha Yanga anashangilia hatua kubwa club yao iliyofikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC. Kuanzia Rais wa club anashangilia mpaka mla miogo wa Chanika ana shangilia .....ila aliwahi kutokea Msemaji wao mmoja aliye toa mameno ya kudhihaki mashindano...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Japanese imekubali kushiriki katika mradi wa nishati wa Urusi

    Tokyo inasema hatua hiyo itasaidia kudumisha upatikanaji wa nishati nchini Japan. Japan inashiriki katika mradi wa nishati wa Urusi Kampuni ya nishati ya Japan SODECO imeamua kubakiza hisa zake 30% katika shirika jipya litakalosimamia mradi wa mafuta na gesi wa Sakhalin-1 katika Mashariki ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Hili suala kiukweli linafikirisha sana Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  8. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

    Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron Polisi wa Palestina wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanaume mwenye umri wa miaka 25-baada ya mwili wake kupatikana ukiwa...
  9. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

    Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
  12. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Dodoso za sensa, shiriki kikamilifu kwa maendeleo ya nchi yetu

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wahadzabe wasikitika kunyimwa bangi kushiriki sensa

    Wakati Serikali ikitoa nyamapori ya nyumbu 20 kwa jamii ya wawindaji, waokota matunda, wakusanya mizizi na warina asali ya wahadzabe wa bonde la Yaeda Chini Wilayani Mbulu Mkoani Manyara ili wahesabiwe, baadhi yao wamelalamika kunyimwa bangi katika mgawo huo. Hii ni mara ya pili Wahadzabe hao...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

    Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba. Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
  15. Nobunaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kushiriki kombe la dunia la mchezo wa kabaddi

    Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  18. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Vita ambavyo China imewahi kushiriki

    Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika nyanja za vita. Karibuni sana tuelimike wote!
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  20. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
Back
Top Bottom