Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

Christians who worship israel must watch this. They don't understand that israel isn't a birth place where Jesus was born.😅
 
Na Wakristo wengi nchini Tanzania, wanaunga mkono mauaji ya kimbari ya Israeli wakidhani Israeli itashiriki mambo yao na maeneo matakatifu pamoja nao.
Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
 
Wanakumbi.

🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.

View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Shida yako hujui ukristo ni ninj ndo maana unasumbuka sana. Hiyo sheria hata ikitungwa siyo kitu kipya kwani ipo wazi kwamba Wayahudi hawajawahi kumkubali Jesus na wakristo wanajua hilo.
Pambana na yanayokuhusu ambayo unayaelewa vizuri achana na yaliyo nje ya ufahamu wako.
Asante
 
Netanyahu's coalition members prepare a Bill that seeks to imprison Christians for sharing the Gospel & telling people about Jesus...
 
Is it that Jesus was born in Zanzibar among greedy fasting Moslems who salivate upon seeing Christians eating foods during Ramadan?
Mada hiii

Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu.​

Hayo mengine anzisha uzi tutakuja kujadili.
 
Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?

Hao mazayuni na wakristo ni picha mbili tofauti. Unafikiri wanasahau walivyouliwa Ulaya na wakristo?
 
Wewe ufahamu chochote kuhusu Palestina ungekuwa unajua usingeandika huu uharo.
 
Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?

Hao mazayuni na wakristo ni picha mbili tofauti. Unafikiri wanasahau walivyouliwa Ulaya na wakristo?
Ndiyo maana nimemwambia hafahamu chochote kuhusu Palestina hawa wagalatia wengi wa JF ni mambumbu ni mashabiki mandazi.
 
Ndiyo maana nimemwambia hafahamu chochote kuhusu Palestina hawa wagalatia wengi wa JF ni mambumbu ni mashabiki mandazi.
Utakuta ni vile vijitu visivyopenda hata kujisomea vipate uelewa.

Tutawapa darsa kidogo kidogo, linawaingia tartiiibu.
 
Na hata vitani wenyewe wayahudi hawapigani kivile,ni mamluki ya nchi nyengine ndio wanajisajili IDF .
 
Back
Top Bottom