Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

Mowwo

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
327
232
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi ya watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Je, ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha.
 
Kwa starehe zaidi nilikuwa nafanya mwezi mzima kila siku kwa goli 3 au 2 na Mke alikuwa anapumzika tu akiwa ktk siku zake.

Nilionana na Dr kumuambia jinsi ninavyosumbuliwa na huo uraibu aliniambia kama hakuna lengo la kupata Watoto wala haina madhara isipokuwa pakihitajika watoto ni lazima gametiume ziimarike kwa wiki 1 kutungisha ujauzito.
 
Kwa starehe zaidi nilikuwa nafanya mwezi mzima kila siku kwa goli 3 au 2 na Mke alikuwa anapumzika tu akiwa ktk siku zake.

Nilionana na Dr kumuambia jinsi ninavyosumbuliwa na huo uraibu aliniambia kama hakuna lengo la kupata Watoto wala haina madhara isipokuwa pakihutajika watoto ni lazima gametiume ziimarike kwa wiki 1 kutungisha ujauzito.
Mkuu unaupiga mwingi sana. Mwezi mzima sio kitoto
Hiyo point hapo ya kupata mtoto nimeinote👍
 
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la Tabia ya kujamiiana unaonesha, Wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.

Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza kuishi pamoja kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kila siku. Wanandoa wapya pia ni hivyo pia.

Lakini pia wake zetu hawa huchoka na majukumu ya kazi au malezi watoto nyumbani na huathiri hamu nzima ya tendo la ndoa. Ili tendo la ndoa wote wafurahie linapaswa kufanywa kila siku? Mara ngapi kwa wiki?

Wewe una uzoefu gani kwenye hili jambo?

Nawasilisha^
Akili mtu wangu, wamesema kwa wana ndoa ni 54 hapo hujaweka mchepuko, barmaid, pisi kali mjini, maofisini zile za one night stand nk nk nk nk jiongeze
 
Back
Top Bottom