Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
658
2,806
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kufanya tendo la ndoa ili kupokea mbegu za kiume za kumfanya abebe mimba azae1713392281428.png

1713443934448.png1713392649035.png
NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
 
Attachments

  • 1713392545737.png
    1713392545737.png
    44.1 KB · Views: 10
  • Salome_Laurian_Mganga_vs_Michael_Peter_Motau_Matr_240417_165512.pdf
    308 KB · Views: 6
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Ukosefu wa nguvu za kiume ni janga la Kitaifa
 
Hili suala lao mbona jepesi.Huyo mama akisubiri sana bila sababu.
Kikristu - Roman Catholic - siku ndoa ikifungwa lazima wahusika wakutane kimwili labda kwa sababu ambazo wao watakubaliana, mmoja akimnyima mwenzake ndoa haijakamilika na hakuna ndoa hapo.
Hapo hata haja ya kwenda mahakamani haikuwepo LABDA kama kuna issue ya mali, au jamaa alikua mbishi..mahakamani mtu kaaibishwa tu aisee
 
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano
Huo ni ulaghai tu, wameshindwana wanatumia sababu za kijinga. Ile wiki ya kwanza ilitosha kuvunja ndoa km ingelikuwa ni kweli
 
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi alalamika kupotezewa muda wake wa uzazi kwa miaka mitano umepita bure bila kupokea mbegu yoyote.

NIMEJIFUNZA SEX BEFORE MARRIAGE NI MBAYA ILA NA MARRIAGE BEFORE SEX NI MBAYA PIA

Uzinzi sio mzuri, ila ndoa ya kikristo inaweza ikakupotezea sana muda bila kutarajia. imagine binti kaolewa na miaka 30 halafu ndoa inavunjwa akiwa na miaka 35, malengo yake ya uzazi kupata watoto ni kama yameshaharibiwa baada ya mkataba wa ndoa Hiyo kumfunga kwa miaka mitano

Alikuwa na malengo yake mengine hovyo labda ya kupata mali, Mwanaume mkifunga ndoa miezi mi 3 tu hajawahi lala na wewd kwa nini usiende Mahakamani kuvunja ndoa? Kwa nini angoje miaka mi 5, kwa nini sio 1, 2, 3 and kwa nini sio 15, tena unaweza kuta alikuwa anajua, kamgeuka jamaa, kuna story upande wa pili wa shilingi.
 
Back
Top Bottom