kushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uzewela

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kushiriki mjadala wa “ICT for Promoting Digital Security and Data Privacy”, leo Novemba 8, 2023

    Ikiwa ni Siku ya pili (Nov 8) ya Tamasha la Jinsia kutoka TGNP, JamiiForums inashiriki kwenye Mjadala kuhusu 'Ushirikishwaji wa Wanawake na Wasichana katika Usalama wa Kidijitali na Faragha ya Taarifa' Mjadala huu utaangazia namna ya kuongeza Ushiriki wa Wanawake kwenye Nyenzo za Kidijitali...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Urusi yanyong'onyea na kukubali kushiriki ICC ili kujitetea

    Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea. Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Gerald Geay atua Sydney Australia kushiriki mbio za Sydney Marathon Jumapili ijayo

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay atua jijini Sydney Australia kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa ya Sydney Marathon tarehe 17 septemba 2023 jumapili. Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha wanariadha zaidi ya elfu arobaini (40,000) wanaotoka katika nchi 66...
  10. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Simba kwa kuwa miongoni mwa vilabu nane bora vinavyoshiriki michuano ya African Football League

  11. L

    JamiiForums Tanzania Umwamba wa nchi za Magharibi wazuia nchi za Afrika kushiriki kwa haki kwenye upunguzaji wa utoaji wa kaboni

    Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Awali iltangazwa kuwa Juma Nature Kiroboto a.k.a Kibra atakuwepo pale Nangwanda Sijaona kwa ajili ya show ya Wasafi Festival iliyofanyika tarehe 2 mwezi huu. Sasa show ikafanyika Nature hajaonekana. Shabiki mmoja huko Insta akaona amuulize swali Nature mbina ulitangazwa utakuwepo Nangwanda...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kushiriki Mkutano wa BRICS, Afrika Kusini

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atangaza kuwasadia waliofanyiwa mabaya kazini kwa kushiriki mijadala ya Twitter

    Mmiliki wa X, ambayo awali ilijulikana kama twitter, ametangaza kuwasaidia watumishi waliotendewa vibaya kazini kwa kushiriki kwao mijadala katika mtandao huo. Elon, amewataka watumiaji wa mtandao wake wamwambie mistreatment kutoka kwa waajiri wao walizozipata baada ya ku-like au kupost kitu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa IGA Ulitengenezwa Kuwa na Vipengele Hasi kwa Tanzania, na Viongozi Wetu Walijua na Kushiriki Uhujumu Huo

    Sote tuanelewa kwamba nchi yetu Rais ni kila kitu kwetu, hahojiwi na mbaya zaidi huwezi kumshtaki mahakama yoyote nchini, akiwa madarakani au baada ya kuachia madaraka. Wananchi wa nchi hii wamezoea, kwamba hawawezi kumwajibisha kiongozi huyo kwa njia yoyote ile; na Bunge ambalo sheria...
  19. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar yaomba vyama vya Siasa kuunga mkono wanawake wenye nia ya kushiriki katika uongozi

    CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kinawataka Wanawake kuwa wajasiri na kujitayarisha kiuongozi bila kuogopa changamoto zinazowakabili wanawake wanapoingia katika uongozi ili kuongeza ushiriki wao kwenye vyombo vya maamuzi. Idadi ndogo ya wanawake katika...
  20. hp4510

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

    Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa. Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything. Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli. Magari parking yanatingishika balaaa hahaha. Ni balaaa.
Back
Top Bottom