Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya #Kenya imesema watu 279 walioripotiwa kupata madhara baada ya kupata chanjo ya Astrazeneca 272 walipata nafuu baada ya muda mfupi
Na wengine saba waliokuwa katika hali mbaya waliropotiwa na kutibiwa ambapo wamerudi katika hali ya kawaida ndani ya muda mfupi
PPB...
Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima.
Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika?
2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu?
3. Ni saa ngapi...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu
Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja
Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au...
Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya kuanza kufanya yote kwasababu ya kukosa fedha.
Hizi apa njia kazaa ambazo unaweza tumia ili kupata...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba kuelimishwa kuhusu credit card au visa card, upatikanaji wake na ufanyaji kazi wake kwa ujumla.
Unaweza vipi kuzitumia kununua bidhaa mitandaoni?
Shukrani.
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.