Naomba ushauri wa namna ya kupata ajira jiji la Dar es Salaam

Ofsaa

Member
May 14, 2019
13
45
Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.

Course: INFORMATION TECHNOLOGY

Natangulisha Shukran ✊
 
rabson john

Member
Jan 22, 2020
21

Course : INFORMATION TECHNOLOGY

Natangulisha Shukran ✊
Kupokea Simu na Kupiga Simu
Kuchapa barua
Kujibu Emails
Kuandaa Ripoti na Taarfa Mbalimbali
Kufanya utafiti mtandaoni
Kudraft barua
Kusoma machapisho mbalimbali na kuandika summary
Kuhudhuria vikao mbalimbali na kuchukua minutes
Kufanya Appointments
Kusimamia na kufuatilia Ratiba
Majukumu Mengine Kwa kadiri ya ujuzi wako na mahitaji ya Mteja

Kama Unaweza kufanya Kazi Remotely
Tafadhali tuma wasifu wako kwenda masokotz@yahoo.com
nimekukopia sehemu wanaitaj mtu anaejua computer n luga y kizungu
 
Shukran kaka
 
ibra2013

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
394
250
Mimi pia natafuta kazi msaada wenu
Naitwa kassim
Naishi dsm mbagala
Yoyote hata kuuza chips na zingine zisizo na elimu

0714945058
 
Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
718
1,000
Jiajiri mwenyewe kwa hiyo kozi
Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.

Course: INFORMATION TECHNOLOGY

Natangulisha Shukran ✊
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom