Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,322
2,000
Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao.

Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi.

Hata hivyo Mungu ni mwema kila inapotokea hali ngumu ya kiuchumi na kimaisha basi hututeulia Mzanzibari kutuongoza ili tuvuke salama.

Mfano mdogo tu wa maarifa ya wazanzibar ni nchi yao kuwa na serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mujibu wa katiba lakini huku bara kwenye watu wengi bunge lina " Wanawake " 19 ndani ya bunge ambao siyo wanachama wa chama chochote cha siasa. Sasa huu kama siyo ulugaluga na ushamba tuuiteje?

Ramadhan kareem!

Kazi Iendelee.
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,645
2,000
Zanzibar ina nguvu gani? Si ndiyo hawa siku wanalia lia humu kuhusu kero za Muungano! Badala ya kupigania mamlaka kamili, wao wanataka usawa kwa uwiano usio sawa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom