Kwanini usipokuwa umeoa au kuolewa inakuwa ngumu kupata chumba cha kupanga?

1) Kufanya usafi wa mazingira

2) Hofu ya kutembea na wake wa wapangaji wenzake ikiwemo maza house

3) Mtu kusepa ghafla,msela ni rahisi kuhama kimya kimya usiku

4) Kujaza masela. Hapa msela anapanga halafu wana ndio wanakuja kuangusha night
 
Mwanaume ambae hajaoa halafu awe na pesa ni kama au zaidi ya almasi, atasumbuliwa na wote, kuanzia wake wa wapangaji wenzie mpaka mama mwenye nyumba, tafuta pesa tu.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mwanaume ambae hajaoa halafu awe na pesa ni kama au zaidi ya almasi, atasumbuliwa na wote, kuanzia wake wa wapangaji wenzie mpaka mama mwenye nyumba.
Nilipanga chumba maeneo fulani Dar Kinondoni. Sharti la Mama mwenye nyumba ilikuwa ni kwamba yeye anapangisha Mwanaume ambaye hajaoa tu. Hapangishi aliyeoa wala mwanamke.
 
Watu mnabisha tu ila mimi 2013 nilikataliwa kwenye nyumba kwa sababu niko singo.
Yes, kila mwenye nyumba ana masharti yake.

Wengine hawapangishi vijana wa kiume ( kwamba wana watoto wa kike )

Wengine hawapangishi wanaume wawili chumba au nyumba moja.

Wengine ndio hivyo wanapangisha familia tu, bachela hakuna.

Ila Dar kuna mabachela wa kutosha tu. Tena kuna wengi waliowahi kuoa lakini kutokana na ugumu wa maisha, wamerudisha wake zao mokoani na familia huku wao wakiendelea kudunda Dar.

Kwa Dar chumba kizuri at least na sebure siyo chini ya 60,000 sasa ukianza maisha na mke kwa kazi za kuunga unga unaweza kuona unamudu.

Ila mkifikisha watoto wawili, na mmoja kashakua huku wewe kipato cha kueleweka hujapata inabidi familia uitoe Dar irudi mkoani.

Wewe uendelee kukomaa kibishi mjini, kwasababu kurudi mkoani huna kitu unaona aibu.
 
endelea kutupa ushuhuda
Nikamuuliza sababu akasema wanawake wana majungu sana na wanaume muda mwingi hawakai nyumbani.
Nilikipenda chumba na nikachukua. Ebana wewe baada ya kuhamia ndio nikagundua mle kulikuwa na wadada wa3 na hawakuwa na waume. Nilikaa kile chumba miaka miwili na nikatoka bila kugusa jirani.
 
Nikamuuliza sababu akasema wanawake wana majungu sana na wanaume muda mwingi hawakai nyumbani.
Nilikipenda chumba na nikachukua. Ebana wewe baada ya kuhamia ndio nikagundua mle kulikuwa na wadada wa3 na hawakuwa na waume. Nilikaa kile chumba miaka miwili na nikatoka bila kugusa jirani.
hahahahahh! 🤣🤣🤣
unamaanisha hukuwagusa hao wadada wa3?
 
Back
Top Bottom