Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau.

Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz.

Asanteni.
 
Duh hv kodi si unalipa ile ile kama ukitoa china maana ni non originated product .!
 
Wafanya Biashara wa Arusha wanachukua Nairobi, kule ndo chimbo la simu Ised na pia vitu kama laptop, so inabidi utafute mfanya biashara wa akushike mkono,
Habari wadau.

Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz.

Asanteni.
 
Kodi inategema ila pia si wanaangalia document za kununulia, Pia mzigo kama ule haunaga process make unaenda na mzigo wako counter kupigiwa kodi na mnaweza negotiate
Duh hv kodi si unalipa ile ile kama ukitoa china maana ni non originated product .!
 
Back
Top Bottom