Mwanandoa akichepuka, mali au pesa atakayohongwa au kulipwa, anatakiwa kugawana na mke/mumewe nusu kwa nusu

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati inatafsiri Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kuhusu umiliki wa mali baina ya wanandoa, katika kesi ya Rufaa namba 287 ya mwaka 2021 kati ya Bahati Kazuzu na Ruth Bura mbele ya Jaji Mugeta, imeeleza kwamba:

Mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja ataipata, iwe kwa kuhongwa au kulipwa, kutokana na kitendo cha kuchepuka, na ikithibitika wakati anachepuka mke au mume wake alikuwa anaendelea na majukumu ya kutunza familia, basi mali hiyo aliyohongwa au kulipwa mwanandoa aliyechepuka inakuwa ni mali ya ndoa na umiliki wake unakuwa sawa kwa sawa kati ya mwanandoa aliyechepuka na mke au mume wake ambae aliendelea kuangalia familia wakati mchepukaji yuko bize anachepuka.

D99E667F-DBDF-4309-81F5-B0F689AA83F4.jpeg
 
View attachment 2472105
Sawa tu sio mbaya maan yake anaefuata kuliwa ni mume.
 
Back
Top Bottom