kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  2. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Nije kwenye mada. Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana. Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu. Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka. Kwa kifupi mungu...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIII🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Karibuni wagawaji wa...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Gaza ni zaidi kuliko Mariupol na Bakhmut

    Katika mwaka huu 2023 dunia imeshuhudia vita vikali ambavyo historia haijawahi kuvishuhudia. Bomu la Hiroshima lilikuwa na moto mkali lakini ilikuwa ni wa mara moja halafu ikawa basi ni kuokota wahanga na majeruhi. Eneo la Mariupol ambalo Urusi ililiteka kutoka Ukraine ilichukua muda mrefu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Makonda anatukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko Serikali

    PAUL MAKONDA ANATUKUMBUSHA KUWA CCM NI KUBWA KULIKO SERIKALI Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Christian Makonda anafanya kazi nzuri sana ambayo kila mwana CCM na Mtanzania yeyote ambaye ni mpenda maendeleo anapaswa kuikubali. Makonda anatukumbusha kuwa Chama...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  8. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

    Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X.. Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo.. Lema Ameendelea kusema kuwa...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu kuongezeka kwa vizinga siku za karibuni kuliko miaka ya zamani?

    Ukijichanganya kutongoza Mwanamke yoyote tu, hapo utaanza kupigwa vizinga tena Kwa kulazimishwa utadhani anakudai. Hivi kwanini wanawake wamegeuka kua omba omba? Shida imekua nini? Hivi tunawezaje kupata Mwanamke wa kuoa kwenye kizazi hiki Cha omba omba? Juzi nimejaribu kutafuta wapenzi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  11. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiwarudisha akina Makonda, Sabaya, na Happy chamani siasa inakwenda kuwa tamu kuliko ligi ya NBC

    Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kushindwa hakuumizi sana, lakini kushindwa kunakotokana na usaliti inauma kuliko kitu chochote

    Kwema Wakuu! Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara. Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho. Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

    Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi. Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  19. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Hii wiki hali ya mashabiki wa Yang ni mbaya kuliko maelezo

    hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo. mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba. kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

    INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza. MAPEPO. Hizi ni ROHO...
Back
Top Bottom