Ipi ni sababu kuongezeka kwa vizinga siku za karibuni kuliko miaka ya zamani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,678
Ukijichanganya kutongoza Mwanamke yoyote tu, hapo utaanza kupigwa vizinga tena Kwa kulazimishwa utadhani anakudai.

Screenshot_20231026-190435.png


Hivi kwanini wanawake wamegeuka kua omba omba? Shida imekua nini? Hivi tunawezaje kupata Mwanamke wa kuoa kwenye kizazi hiki Cha omba omba?

Juzi nimejaribu kutafuta wapenzi wangu wa zamani kama watatu hivi kuwasalimia tu maana tuliachana vizuri tu, kitendo Cha kuwasalimia tu utasikia "Nitumie 20,000 na shida nayo" yaani woote wamekua omba omba, hakuna mambo mengi ni pesa pesa pesa, hebu jaribu kumtafuta Binti yoyote uone utakavyopigwa mzinga, alafu imekua ni kawaida tu mpaka nimeshangaa kabla ya kumtafuta alikua anaishije?

Kwanini hayo mambo hayakuepo Zamani Je dunia imeharibia au maisha yamekua Magumu au upendo haupo?
 
Matumizi yamezidi kipato maisha yamepanda sana so mda wote pesa inaitajika tena kwa watu wenye familia ndio balaa

Hakuna sehemu leo iwe mjini au kijijini ukapata sahani ya wali maharage kwa shilingi elfu moja ukala ukashiba kama hiyo sehemu ipo wadau msiondoke sasa hivi hata ugali daga elfu moja mia tano yani mambo ni tight balaaq
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom