kukwepa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuepuka kodi (tax avoidance) bila kuvunja sheria za nchi?

    Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa kukwepa ufisadi wanaishi miaka mingi sana; angalia mifano ya akina Sarakakikya

    Wazee wengi waadilifu wana afya njema hata baada ya kustaafu; mfano wao 1. Mzee Mwinyi akujilimbikizia mali, nchi iliibiwa just kwasababu hakutaka kuchukua hatua kwa wezi 2. Mzee Warioba 3. Mzee Butiku 4. Mzee Mwandosya 5. General Sarakikya 6. Obama- anaishi maisha yakumpendeza hata asiyewahi...
  4. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Mbinu mahiri ya kijasusi ya kukwepa wahalifu na wasiojulikana

    Je wewe ni muhanga wa ufuatiliaji (SURVEILLANCE)? Ikiwa wewe ni mtu ambaye unafuatiliwa na wahalifu au watu wengine kutokana na shughuli zake ziwe za kisiasa, kibiashara na hata kimahusiano basi njia hizi nitakazozielezea hapa ukizifuata na kuziishi zinaweza kukufanya uwe salama ikiwa upo under...
  5. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  7. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

    Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji. ========== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa

    Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa? Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango ya maendeleo kijijini

    Maandalizi ya mazishi ya Sophia Mohamed (40) mkazi wa Kijiji cha Kipereza Kiteto akidaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango sambamba na mimea yake kuathiriwa na jua. Picha na Mohamed Hamad. Kiteto. Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Mkoa wa Manyara, Sophia Mohamed (40) amejinyonga hadi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yafunga Shule kukwepa Kimbunga Freddy

    Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji. Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
  13. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  14. Undava King

    JamiiForums Tanzania Suluhu katika elimu yetu si kukwepa ukweli

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa juu ya uelekeo wa elimu yetu. Katika siku za hivi karibuni hatuitaji utafiti wowote kujua kama elimu yetu imeshuka. Baadhi ya dalili za elimu yetu kuporomoka ni kama hizi 1. Watoto kufahulu kwenda kidato cha kwanza wakiwa hawajui kusoma wala kuandika mpaka wazazi...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanaonunua mizigo kwa kupewa risiti zenye kodi ya VAT wana sababu ipi ya kukwepa kodi kwa kuuza bidhaa bila kutoa risiti ya VAT?

    kwa wanaonunua mizigo bila kodi ya vat 18% naweza kuwaelewa kwamba wapo kundi moja na wale wa magendo, ila hawa wanaonunua mizigo yenye vat inakuwaje sasa. Mfano mfanyabiashara kaenda kufunga mzigo flani, huo mzigo alionunua ni mkubwa na kafaidika kwa punguzo la bei ya jumla, akipiga hesabu ya...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Walevi wa Pombe, Ni mbinu zipi mnatumia kukwepa kufanya vitu vya aibu na hatari mnapolewa ?

    -Kutukana Matusi ovyo -Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k. -Kuendesha gari bila umakini - ajali -Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua. -haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni. -kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
  17. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Kwa android phone security: Je kuna tracking app/software yoyote inayoweza kukwepa 'factory/hard reset'?

    Wakuu na wataalaamu wa phone security, Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack? Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena. Je, kuna...
  18. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kigogo kukwepa harkers? Au mwenyewe kuhack kibabe.

    Habarini. Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.? Msaada wa VPN ama ilikaaje.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

    Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000) Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa Shakira amekuwa akikana tuhumu...
Back
Top Bottom