Waliofanikiwa kukwepa ufisadi wanaishi miaka mingi sana; angalia mifano ya akina Sarakakikya

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Wazee wengi waadilifu wana afya njema hata baada ya kustaafu; mfano wao
1. Mzee Mwinyi akujilimbikizia mali, nchi iliibiwa just kwasababu hakutaka kuchukua hatua kwa wezi
2. Mzee Warioba
3. Mzee Butiku
4. Mzee Mwandosya
5. General Sarakikya
6. Obama- anaishi maisha yakumpendeza hata asiyewahi kukutana naye
7. Dr. Slaa
8.Wazee wengine wengi ambao unaishi nao kijijini lakini walikuwa waadilifu

Wameheshimika wakiwa na nafasi na hata baada ya kustaafu.

Hawa wezi wengine wao hata wakipewa umri mrefu bado hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza huko wanapoishi. Wameishia kuishi kwenye nyumba za kifahari bila amani ...

Mwenyenzi Mungu akupe uzalendo
 
Nape amezeeka Kwa rushwa ,hahahah eti wewe Elon musk huna mitambo Tanzania kumbe linaogopa kuumbuliwa
 
Wazee wengi waadilifu wana afya njema hata baada ya kustaafu; mfano wao
1. Mzee Mwinyi akujilimbikizia mali, nchi iliibiwa just kwasababu hakutaka kuchukua hatua kwa wezi
2. Mzee Warioba
3. Mzee Butiku
4. Mzee Mwandosya
5. General Sarakikya
6. Obama- anaishi maisha yakumpendeza hata asiyewahi kukutana naye
7. Dr. Slaa
8.Wazee wengine wengi ambao unaishi nao kijijini lakini walikuwa waadilifu

Wameheshimika wakiwa na nafasi na hata baada ya kustaafu.

Hawa wezi wengine wao hata wakipewa umri mrefu bado hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza huko wanapoishi. Wameishia kuishi kwenye nyumba za kifahari bila amani ...

Mwenyenzi Mungu akupe uzalendo
Mrushie baba yako huu ushuuzi
 
Back
Top Bottom