kukwepa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kigogo kukwepa harkers? Au mwenyewe kuhack kibabe.

    Habarini. Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.? Msaada wa VPN ama ilikaaje.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Shakira kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukwepa kodi

    Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000) Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa Shakira amekuwa akikana tuhumu...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

    Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi. Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Watoto Haiti wahifadhiwa shuleni kukwepa machafuko ya wahalifu

    Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao. Vurugu hizo...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti Binafsi: Wanawake wenye Simu za Gharama ndiyo wanaongoza kudoea vyakula, kukwepa kulipa nauli na kuachika na mabwana

    Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki). Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake. Na hata...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze katika elimu badala ya mabweni ili kukwepa mimba za utotoni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za usafirishaji serikali haiwezi kukwepa lawama

    Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi. Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere! Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wanawake wakimbia makazi yao kukwepa wabakaji

    Baadhi ya Wanawake wa Kijiji cha Shirimatunda, Kata ya Mnadani, Wilaya ya Hai wamekazimika kukimbia makazi yao kutokana na kuibuka kwa wimbi la Wanaume wanaofanya vitendo vya ubakaji. Matukio hayo yanadaiwa kutokea katika maeneo ya mtoni wakati Wanawake wakifuata maji, ambapo wanaofanya tukio...
  13. B

    JamiiForums Tanzania KIBOSHO: Askari wanaofanya operesheni ya kuua mbwa waua Binadamu,baada ya mbwa alielengwa kukwepa

    Tukio limetokea usiku huu,maeneo ya KIBOSHO kindi, ambapo mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Munishi, Afariki dunia baada ya kupigwa risasi ya kifua ktk operesheni ya kuua mbwa wanaozurura hovyo inayoendelea huko KIBOSHO. Wamarangu, Wauru,wamachame,waold Moshi,wamasama,warombo tumefiwa huku...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie gesi yetu kukwepa vikwazo vya Urusi na Ukraine

    Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana. Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

    Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake. Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba awaonya Wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi

    Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa. Waziri wa Fedha...
Back
Top Bottom