kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

    Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
  4. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa wizi wa magari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail. Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

    Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA. Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
  6. Consultant

    JamiiForums Tanzania Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

    Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge. Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama. Chanzo: Gazeti la Raia Mwema...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Akamatwa kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa

    Polisi Mbeya wanamshikilia Warren Mwinuka (20) wa Makondeko Mbeya kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa Mbeya (Juma Homera ) na kutumia Instagram yenye jina la Mkuu huyo kutaka Watu wampe kero zao na kuwatapeli pesa, upelelezi ukikamilika atafikishwa Mahakamani.
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  9. Jackal

    JamiiForums Tanzania Muandamanaji wa Kiislamu akamatwa kwa kukojolea Msikiti wa Al Aqsa

    My take:I didn't see Al Jazeera, CNN or BBC reporting about the Palestinian urinating on Al Aqsa. Weird. ==== Israeli police arrested on Wednesday a Muslim on suspicion of rioting, violating the public order, throwing rocks at police forces, and releaving himself on the roof of the Al Aqsa...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Muandaaji wa Miss Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022. Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
  13. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zambia: DEC arrests Malanji for money laundering, Seize his two Helicopters and a Hotel

    Waziri wa zamani wa Zambia ameingia matatani kwa ufisadi. Karibuni kanunua helicopter ya $700,000. Kwa mapato yapi huko serikalini? Alikuwa na mahoteli na mali lukuki. Hawa ndiyo wale wazalendo sasa kama wetu, ambako huko kuna siri zisizopaswa wenye nchi kuzijua. Kwani hapa kwetu ni tofauti...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Emmanuel Patson Mwesa, akamatwa kwa kumuua bosi wake kwa panga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Polisi Mkoa wa Songwe lilifanya msako huko Kijiji cha Mwaka - Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, Machi 21, 2022 na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa EMMANUEL PATSON MWESA [22] Mkazi wa Mwaka - Tunduma aliyekuwa akitafutwa kwa kosa la mauaji...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Baharia wa Ukraine akamatwa akitaka kuizamisha boti inayomilikiwa Mrusi Nchini Hispania

    Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine. Boti hiyo yenye urefu wa mita 48 sawa na futi 157 inayoitwa Lady Anastasia inamilikiwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania India: Akamatwa kwa kuoa wanawake 18 akijifanya daktari

    Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Ramesh Chandra Swain mwenye umri wa miaka 66, alikamatwa Jumapili usiku katika...
Back
Top Bottom