kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

    Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka. Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Hussein Ramadhani akamatwa kwa kujifanya Askari Polisi. Na Maila Majula akamatwa kwa kudanganya kaibiwa gari

    Dar-es-salaam 15/02/2022 JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LIMEMKAMATA MTU MMOJA KWA KUJIFANYA ASKARI POLISI Tukio hilo limetokea tarehe 09.02.2022 majira ya saa sita na nusu mchana huko maeneo ya Vingunvguti Mtakuja ambapo alikamatwa Hussein Ramadhani, miaka 30, Mzaramo na...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Akamatwa akituhumiwa kumuua Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki

    Polisi Mkoani Njombe wamemkamata Daniel Mwilango kwa tuhuma za mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki Kigango cha Parokia ya Makambako yaliyotokea February 08, 2022, Mwilango amekamatwa Wilayani Mvomero, Morogoro. RPC wa Njombe, Hamis Issa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bila Upelelezi kukamilika hakuna kukamata, ukiachiwa na Mahakama hakuna kukamatwa tena

    Tunaposema kila Mtanzania amuunge mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan tunamaanisha mambo kama haya, Niwe mkweli tu tangu Uhuru Mama huyu ni watofauti sana hebu ona alichofanya kwenye magazeti na hii, === Bunge limepitisha Mabadiliko muhimu ya Sheria kupitia muswada wa mabadiliko...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 19 akamatwa na madawa yanayodhaniwa ni HEROIN

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia LUSEKELO ELISHA MWAKANGATA mwenye umri wa miaka 19, Mkazi wa Mama John kwa kosa la kupatikana na kete sita sawa na gramu 0.3 za madawa ya kulevya yadhaniwayo kuwa ni heroin. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amesema kuwa mtuhumiwa...
  6. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

    Gema Haule(23) aliyekuwa mhudumu wa gesti house inayoitwa Peace house iliyopo manispaa ya Songea mkoani Ruvuma aliuawa na mteja aliyekua anadaiwa elfu hamsini[50,000/=] za malipo ya siku tano alizokaa gesti kwa kumnyonga na kamba ya viatu hadi kufa hatimaye muuuaji amekamatwa. Pia soma Songea...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji: Utawala corrupt unatuletea shida, Mchina akamatwa akichepusha maji mto Ruvu kumwagilia mboga

    Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache. Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  12. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

    Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani. Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo. Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Ofisi ya mtendaji wa kijiji yachomwa moto, mtu mmoja akamatwa kwa upelelezi

    Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana. Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI ACP Debora Magiligimba RPC Ilala Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
  17. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Tunisia yatoa Hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Mgombea Urais wa nchi hiyo

    Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka wa nchi hiyo kwa njia haramu (pasipo vibali) hali iliyopelekea kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  19. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Uganda: Watakaonunua chapati tano kukamatwa

    Ukistaajabu ya Musa utashanga ya mengi katika hali ya kushangaza polisi kwenye wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wametangaza kukamata mtu yoyote atakayekutwa akinunua chapati zaidi ya tano kwa mara moja. Chanzo cha kamata kamata hiyo ni kutokana wakazi wengi wa wilayani humo kutumika...
  20. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Facebook yazindua "tools" kuwasaidia Wananchi wa Afghanistan wanaofuta taarifa zao mtandaoni kwa hofu ya kukamatwa na Taliban

    Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
Back
Top Bottom