Muandaaji wa Miss Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Rwanda.JPG

Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.

Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022.

Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira amesema Prince Kid, 36, anathuhumiwa kutenda makosa dhidi ya washindani wa zamani wa Miss Rwanda kwa nyakati tofauti na atafikishwa Mahakamani baada ya muda.

Mwandaaji huyo ni mkuu wa Kampuni ya Rwanda Inspiration Backup ambayo huandaa mashindano ya urembo ya kila mwaka ya Miss Rwanda tangu mwaka 2014.

Source: The New Times

===

Rwanda: Prince Kid Arrested Over Sexual Abuse

Dieudonné Ishimwe, CEO of Rwanda Inspiration Backup that organises Miss Rwanda beauty pageant, has been arrested over sexual abuse towards the contestants on different occasions.

Rwanda Investigation Bureau spokesperson, Thierry Murangira, confirmed to this publication that Ishimwe, popularly known as Prince Kid, is detained at Remera RIB Station as investigations continue.

"It is true, RIB arrested a man identified as Dieudonne Ishimwe on suspicion of sexual abuse towards the contestants of Miss Rwanda. He is currently being held at RIB Remera station as investigations continue. His file will be handed over to prosecution when investigations are complete," Murangura said.

Prince Kid started organising Miss Rwanda in 2014 through his company, Rwanda Inspiration Backup, that has seen the annual event become one of the most popular in the country.
 
Kwa uonez wa kagame unaweza kuta ni mambo ya kisiasa labda jamaa kashtukiwa mambo yake ya nyuma ya pazia anayotumiwa kufanya (huchelewi kusikia hili)
 
Acheni mambo ya kiduwanzi, Wanyarwanda kwa sasa hawatambuani kwa makabila yao.

Wabongo mnapenda fitina sana.

Halafu Mhutu na Mtusi kwa miaka ya leo hawatambuliki kwa muonekano...kwa sababu ya intermarriage miongoni mwao.

Ukiwa tajiri unaweza kuamua kuwa raia wa nchi yyte, kabilaa lolote etc.
 
Etiiii😳😳😳
 
Huyu atakuwa alikula kimasikhara tunda la kagame,ambalo nalo lilikuwa kwenye competition ya miss Rwanda!!
 
Acheni mambo ya kiduwanzi, Wanyarwanda kwa sasa hawatambuani kwa makabila yao.

Wabongo mnapenda fitina sana.

Halafu Mhutu na Mtusi kwa miaka ya leo hawatambuliki kwa muonekano...kwa sababu ya intermarriage miongoni mwao.

Ukiwa tajiri unaweza kuamua kuwa raia wa nchi yyte, kabilaa lolote etc.
Una uhakika unacho kinena!?
 
Acha uongo. Aliyekwambia Mutusi anaoa muhutu ni nani?
 
Back
Top Bottom