kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

    KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25). Tukio hilo limetokea tarehe...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waliomzushia kifo Rais Museveni kukamatwa

    Rais Yoweri Museveni ameagiza vikosi vya usalama kuwatafuta kwa haraka watu walioneza habari za uongo za kifo chake.Rais Museveni aliyasema haya katika sherehe ya kuapishwa kwa wabunge katika uwanja wa Kololo mjini Kampala. My Take: Nahisi kuanza kupata majibu ya kwa nini wakuu waliogopa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Bugarika, Mwanza: Maji bado changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani

    Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota majitiririka kwenye mitaro. Lengo langu ni kumkumbusha Rais Samia kwamba hata Marais walopita wote...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

    CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia. Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  12. Semahengere

    JamiiForums Tanzania Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

    Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka. Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani? Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery. Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

    Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jafo aagiza kwa kukamatwa Mfanyabiashara aliyetelekeza makontena ya uchafu Bandarini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi. UPDATE: JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi...
  16. Zak Malang

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda akamatwa!

    Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam. =============== UPDATES Habari zilizonaswa sasa hivi kutoka makao makuu ya polisi Dar zinasema Mhariri wa Tz Daima...
Back
Top Bottom