Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria.
Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
Mwalimu wa dini wa shule za madrassa huko Tarime amekamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo.
Soma mwenyewe hapa chini.
======
MWALIMU wa madrasa kwenye Msikiti wa Kebeyo, Kijiji cha Getenga, Tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Shaban Harun (37) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini.
Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
Za mchana wakuu,
Hii imetokea huko nchini Malawi, jamaa mmoja muuza masanduku anaeishi karibu na hospital fulan ya umma aliingia katika hospital hiyo kinyemela na kuanza kuchomoa mipira ya drip walizowekewa wagonjwa wa kipindupindu ili wafe na yeye apate nafasi ya kuuza masanduku yake...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma.
Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo.
Mda utaongea zaidi
Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri.
Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba.
Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema wanamshikilia raia huyo kwa tuhuma za kuingia Nchini kinyume cha Sheria na kumiliki silaha ambayo imekuwa ikitumika katika matukio ya uhalifu
Kamanda amesema silaha hiyo ilitumika kwenye mauaji ya mchimbaji mdogo Tegemeo Rashid aliyeuwawa...
Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo
Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli.
Katika chaneli hiyo ya mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.