Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,096
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.

Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa kosa hilo.

PICHA: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti John Pambalu wakiwa kwenye kijiwe cha Kahawa wakitoa elimu ya Uraia kuhusu KATIBA MPYA.

1.jpg
2.jpg
 
Hehe wanawapeleka wapi? wawapeleke ikulu ili kuwa sehemu ya maridhiano na jeshi la polisi waende ikulu
 
Tanzania bado tuna safari ndefu sana, na viongozi watafika kwa shetani wakiwa taabani,, sasa kikao cha family nacho kinahitaji kibali kutoka kwa kwa jeshi la kamanda zerro?
 
Tanzania bado tuna safari ndefu sana, na viongozi watafika kwa shetani wakiwa taabani,, sasa kikao cha family nacho kinahitaji kibali kutoka kwa kwa jeshi la kamanda zerro?
Pambalu kwao ni babati? Mbona jezi za chama kazipigilia na wenzie? Hapo ni familia au chama?
 
Back
Top Bottom