kujifunza

  1. Kama software engineer (experinced Software Craftsman) umepanga kujifunza nini huu mwaka?

    hello bosses, ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
  2. C

    Napenda kujifunza Programming language

    .
  3. Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  4. Nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku

    Habari wapendwa Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John...
  5. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  6. Maoni: Leo naanza kujifunza python

    Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa. Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo. Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
  7. Mambo ya kujifunza kutoka kwa uchaguzi wa Marekani

    Wana bodi, Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime wezekana kwa wao kukataa ku shawishika kwa njia yoyote kufanya yasiyo sahihi. Vile vile katika...
  8. J

    Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  9. B

    Tuna cha kujifunza na Uchaguzi wa Marekani?

    Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu? Mema waliyonayo wamarekani leo hayakuja kama mvua. Yalipiganiwa na hata damu kumwagika. Sembuse kukaa mahabusu au hata kufungwa jela...
  10. Mambo ya kustaajabisha kuhusu viumbe hawa

    1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu 2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto 3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani 4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea...
  11. E

    Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani

    Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani. Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima. Wasikilize watu wenye hekima. Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima...
  12. Nahitaji kujifunza kuzungumza kiswahili sanifu; tuanze na neno timbwili

    Habari Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi? Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
  13. GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu. Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
  14. GE2020 Kwa hili la kuenguliwa Wagombea wa Upinzani, tuna la kujifunza

    Wakuu salaam, Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019. Katika majimbo yote ya Uchaguzi ni majimbo machache saana ambayo niliona wagombea wa ngazi mbalimbali wakiongozwa na wagombea...
  15. 50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

    Salaam wanaJF. Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani...
  16. Nini cha kujifunza yanayoendelea Mali, Belarus na Thailand tukiwa tunaelekea Uchaguzi?

    Kama unafuatilia vyombo vya habari nchi ya Mali moto umefuka. Wananchi waliingia mitaani mpaka raisi aliyetawala miaka 25 na ushee aondoke. Wanajeshi wakamteka Rais na waziri Mkuu, wakakamata nchi. Sema wanajeshi kiroho safi wataandaa uchaguzi wa huru wameahidi. Belarus, wananchi wameingia...
  17. Mnaotaka Kujifunza 'Kujitetea' pale 'mnapoonewa' na Watu 'Wababe' na mpate Haki zenu 'waigeni' Mafundi hawa

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile... 1. Fatma Karume 2. Peter Kibatala 3. Tundu Lissu 4. Jebra Kambole 5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
  18. Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

    Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming. Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia...
  19. Mambo mengi ya kujifunza kwenye mlipuko wa Beirut

    Japo Rais Trump amesema mlipuko wa Beirut ni kitu maalum kilichopangwa lakini waLebanoni wenyewe wanaamini imetokana na shehena ifikayo tani za ujazo 2750 za Ammonia nitrate iliyotaifishwa tangu mwaka 2013 kwenye meli iliyotoka Urusi kuelekea Msumbiji. Mtu mmoja wa Beirut mji ambao umezoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…