Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000
Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani.

Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima.
Wasikilize watu wenye hekima.
Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima.

Hii ndio orodha ya watu wangu pekee ambao huwa najifunza kutoka kwao, ili nipate maneno yenye hekima.

1.Obama
2. Steve Jobs
3. Bill Gates
4. Dkt. Magufuli
5. Watu waliosomea Havard University.

Ukifuatilia hotuba za Obama, alikua anazungumzia maneno yenye hekima sana na ya kujenga na sio kubomoa. Si hivyo tu alikuwa kila akihutubia pia lazima aingizie maneno machache ya kuchekesha. Lazima ujue kuchekesha unapo hutubia hiyo ni mbinu ya uhutubiaji kama unaongea ongea tu bila kuchekesha wewe sio mhutubiaji bali nimwongeaji.

Ukimusikiliza Dkt Magufuli hotuba zake zinafanana sana na hotuba za Obama. Hakika ukimsikiliza lazima upate maneno ya hekima na ya kuchekesha yenye kuleta amani na furaha moyoni.

Ukifuatilia hotuba za Steve Jobs naye hivyo hivyo. Lazima achekeshe kidogo.

Natamani sana na mimi niwe kama Dkt Magufuli, kama Obama wa Tanzania, kama Steve Job kama wale vijana wa Harvad. Nihutubie watanzania maneno yenye hekima yenye kuleta amani na furaha na kabla sijamaliza hotuba yangu niingizie kidogo na maneno ya kuchekesha.

Siasa sio vita bali ni mchezo tu kama basket ball.

Copy(6) Magufuli-II-470x264.jpg

Copy(6) john-magufuli.jpg

Copy(6) magufuli-1-7.jpg

Interested Observer

JF-Expert Member
Mar 27, 2006
2,092

View attachment 1588928

View attachment 1588930

View attachment 1588931

Jamani tunamilinganisha JPM na Obama? Steve Jobs, Bill Gates?
JPM anaweza kuwa Manager Mzuri siyo Leader! Those other you mentioned are Leaders, can inspire, they have charisma.

JPM bashes women, kills people
 
Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,936
2,000
Rais Magufuli ni kama ameshushwa na Mungu kuja kukomboa Watanzania
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,349
2,000
Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani.

Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima.
Wasikilize watu wenye hekima.
Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima.

Hii ndio orodha ya watu wangu pekee ambao huwa najifunza kutoka kwao, ili nipate maneno yenye hekima.

1.Obama
2. Steve Jobs
3. Bill Gates
4. Dkt. Magufuli
5. Watu waliosomea Havard University.

Ukifuatilia hotuba za Obama, alikua anazungumzia maneno yenye hekima sana na ya kujenga na sio kubomoa. Si hivyo tu alikuwa kila akihutubia pia lazima aingizie maneno machache ya kuchekesha. Lazima ujue kuchekesha unapo hutubia hiyo ni mbinu ya uhutubiaji kama unaongea ongea tu bila kuchekesha wewe sio mhutubiaji bali nimwongeaji.

Ukimusikiliza Dkt Magufuli hotuba zake zinafanana sana na hotuba za Obama. Hakika ukimsikiliza lazima upate maneno ya hekima na ya kuchekesha yenye kuleta amani na furaha moyoni.

Ukifuatilia hotuba za Steve Jobs naye hivyo hivyo. Lazima achekeshe kidogo.

Natamani sana na mimi niwe kama Dkt Magufuli, kama Obama wa Tanzania, kama Steve Job kama wale vijana wa Harvad. Nihutubie watanzania maneno yenye hekima yenye kuleta amani na furaha na kabla sijamaliza hotuba yangu niingizie kidogo na maneno ya kuchekesha.

Siasa sio vita bali ni mchezo tu kama basket ball.

View attachment 1588928

View attachment 1588930

View attachment 1588931

CCM wamejaza mabango peke yao nchi nzima ,wanajisifu wamefanya mambo makubwa sana lakini wana mgombea weak vibaya mno hawezi kufanya kampeni mfululizo for 7 days mmebaki kutumia polisi na NEC kumdhibiti Lissu Muda wa kukataliwa duniani na mbinguni umeshafika kwa Meko.
 
akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
500
Sasa kama unapenda magufuli bas na hotuba za tramp ungezipenda pia maana hawaachani hata kidogo, ila kwa uzi wako huu ninaweza kujua uko vip yaan mtu anayezungumuza maswala ya katrero, anayezungumuza et nisugue ndo lilolimodo lako ahaaaa dunia hii jamani
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,176
2,000
Sasa kama unapenda magufuli bas na hotuba za tramp ungezipenda pia maana hawaachani hata kidogo, ila kwa uzi wako huu ninaweza kujua uko vip yaan mtu anayezungumuza maswala ya katrero, anayezungumuza et nisugue ndo lilolimodo lako ahaaaa dunia hii jamani
Anaenda kuhutubia saivi njoo tumsikilize. Tunywe na kahawa
 
mlima wa mizeituni

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
536
1,000
Uingize kidogo maneno ya kuchekesha? Si kila hotuba lazima uchekeshe watu!

Inaonesha njia pekee ya ku'draw attention unayoifahamu ni kuchekesha.

Ikitokea umetamka jambo unalohisi linachekesha then hadhira isicheke, lazima uvurugike.
 
enhe

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,854
2,000
Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani.

Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima.
Wasikilize watu wenye hekima.
Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima.

Hii ndio orodha ya watu wangu pekee ambao huwa najifunza kutoka kwao, ili nipate maneno yenye hekima.

1.Obama
2. Steve Jobs
3. Bill Gates
4. Dkt. Magufuli
5. Watu waliosomea Havard University.

Ukifuatilia hotuba za Obama, alikua anazungumzia maneno yenye hekima sana na ya kujenga na sio kubomoa. Si hivyo tu alikuwa kila akihutubia pia lazima aingizie maneno machache ya kuchekesha. Lazima ujue kuchekesha unapo hutubia hiyo ni mbinu ya uhutubiaji kama unaongea ongea tu bila kuchekesha wewe sio mhutubiaji bali nimwongeaji.

Ukimusikiliza Dkt Magufuli hotuba zake zinafanana sana na hotuba za Obama. Hakika ukimsikiliza lazima upate maneno ya hekima na ya kuchekesha yenye kuleta amani na furaha moyoni.

Ukifuatilia hotuba za Steve Jobs naye hivyo hivyo. Lazima achekeshe kidogo.

Natamani sana na mimi niwe kama Dkt Magufuli, kama Obama wa Tanzania, kama Steve Job kama wale vijana wa Harvad. Nihutubie watanzania maneno yenye hekima yenye kuleta amani na furaha na kabla sijamaliza hotuba yangu niingizie kidogo na maneno ya kuchekesha.

Siasa sio vita bali ni mchezo tu kama basket ball.

View attachment 1588928

View attachment 1588930

View attachment 1588931

Dah! Njaa ikizidi inafanya watu wawe wehu!
 
Umewahi kuhutubia lakini chief. Maana unaongea bila kuwa na uzoefu. Mwenzio nina uzoefu na hayo mambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom