Maoni: Leo naanza kujifunza python

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,824
3,131
Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.

Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo.

Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
 
Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.
Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo...
Inategemea unataka kusoma python ili ukatengeneze kitu gani. Python inatumika sehem nyingi sana (kuanzia web, android, desktop apps, simple games, scripts, scrappers, etc).

Ukisoma python kma python tu bila ku specialize kwenye sehem flan naona kma utakua unasoma kujua tu python na sio jinsi ya kuapply python in real world problems
 
Inategemea unataka kusoma python ili ukatengeneze kitu gani. Python inatumika sehem nyingi sana (kuanzia web, android, desktop apps, simple games, scripts, scrappers, etc). Ukisoma python kma python tu bila ku specialize kwenye sehem flan naona kma utakua unasoma kujua tu python na sio jinsi ya kuapply python in real world problems
lakini sytanx si zile zile?
 
Python ipo vizuri na unaweza kuitumia kwenye mambo mengi pia ni wewe mwenyewe uamue category gan unataka kuitumia. mfano machine Learning, Software engineer, research analysis. data analysis, Testing / automation, backend developer na mengine mengi tu. all the best.
 
Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.

Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo.

Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
Kwa tutorial za Python pitia hizi...

1.

2.

3.

Sidhani kama youtube nzima kuna tutorial nzuri za python zaidi ya hizo!!

Good luck!
 
Umeshafanya web development? Kama ndio angalia project moja inaitwa Django. Iko vizuri. Ila unahitajika kujua MVC pattern vizuri ili uende sawa nayo.
 
Ruby ndo simjui mzee ramanujan....Au ndo anatengeneza ios?
Kama unaijua laravel ya php, basi na ruby nae ana framework yake inaitwa Ruby on Rails. Aisee, nilipoiona kwa mara ya kwanza, nilihisi bwana Otwell alimkopi ili kuunda Laravel, japo kuna alisema alikuwa anai improve Codeignater!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom