Mnaotaka Kujifunza 'Kujitetea' pale 'mnapoonewa' na Watu 'Wababe' na mpate Haki zenu 'waigeni' Mafundi hawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,563
Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...

1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia kwa Simba SC )

Na Mimi pia natamani kuwa Mwanasheria ( Wakili ) Nguli kama hawa Watajwa hapa juu.
 
Sokwe Mbwa Nyani FC(SMN FC)
 
Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu ya vitu vidogo mnafikia hatua had ya kuitana nyani sokwe mbwa, alaf mkiskia mtu mwrusi kabaguliwa huko majuu mnakasirika

Mkuu kwani na Wewe pia kumbe ni Sokwe Mbwa Nyani SC Fan? Mbona 'Mapovu' hivi? Bernard Morrison aliyehamia Simba SC 'anakusalimia' sana Mkuu anasema kama vipi mkutane tena huko CAS ( FIFA ) ili 'akawanyooshe' tena vizuri na 'mkome' kabisa.
 
Juzi nimemuona Jebra Kambole kaongeza degree nyingine!!! Mataga mpo?

Bernard Morrison wa Simba Sports Club anazo zaidi ya hizi za Jebra Kambole ukitaka uamini Waulize Yanga Sports Club wana uhakika wote Kamili Mkuu au ukishindwa Waulize hawa Watu Wakili wa Yanga SC Alex Mgongolwa na Watangazaji 'Wanafiki' wa Wasafi FM ambao wako katika 'Payroll' ya Yanga SC akina Maulid Kitenge na mwenzake Yusuph Mkule watakuambia ( watakueleza ) zaidi yangu.
 
Mkuu kwani na Wewe pia kumbe ni Sokwe Mbwa Nyani SC Fan? Mbona 'Mapovu' hivi? Bernard Morrison aliyehamia Simba SC 'anakusalimia' sana Mkuu anasema kama vipi mkutane tena huko CAS ( FIFA ) ili 'akawanyooshe' tena vizuri ili 'mkome' kabisa.
Mimi ni shabik wa simba niliwahi had kupigana na mwanafunzi mwenzangu kisa ushabik, ila biashara za kibaguz acha , unacho kiandika kinaweza kutafsir level ya upumbavu ulionao
 
Mimi ni shabik wa simba niliwahi had kupigana na mwanafunzi mwenzangu kisa ushabik, ila biashara za kibaguz acha , unacho kiandika kinaweza kutafsir level ya upumbavu ulionao

Na bahati mbaya ni kwamba wanasimba tunajuana wenyewe na kamwe hatuna mwanasimba 'Mpumbavu Mwandamizi' kama Wewe. Acha 'Kuzuga' najua hizi 'Hasira' zote ni baada ya jana 'Kuangushwa' Kisheria na Wakili Msomi kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ambaye sasa ni Mali halisi ya Simba Sports Club. Na kasema hata huko CAS mnakoenda bado tena ataenda na 'Kujiwakilisha' mwenyewe na bado 'atawaangusha' tu na mtarejea Tanzania vichwa chini. Mnadhani Wanasheria wa huko CAS ( FIFA ) mnakotaka kwenda ni 'Wapumbavu Wapumbavu' na 'Waswahili Waswahili' kama hawa mliowazoea hapa ambao Kutwa walishazoea 'Kuwabebeni' Sokwe Mbwa Nyani SC?
 
Mashabiki wa simba tunaheshimu utu wa watu, ila kwakua na wapumbavu mpo pia mm Sina namna ya kukubabilisha
 
Mashabiki wa simba tunaheshimu utu wa watu, ila kwakua na wapumbavu mpo pia mm Sina namna ya kukubabilisha

Kamkasirikie Bernard Morrison aliyekulaza hoi na acha kupoteza muda wako na Mimi tafadhali sawa? Najua kuwa Sindano imeshakuingia na imewaingia vilivyo Kudadadeki.
 
Lisu mwenyewe kachakazwa na risasi leo hii ni nusu mfu!! Anajinyea kunako begi. Ndo anitetee yule Mweee!!!

Mtetezi pesa tu km walivo mgusa yule Muhindi. Kosa kubwa wakamuachia salama..akaenda zake india kurudi tu weee!! Motooo!!

Wale askari wote walio shiriki zoezi lile ni vichaaa!!! Tena siyo humu.nje!! Afande alfonce yuko wapi mnamsikia siku hizi??

jiwe kapigwa jini kiuno!! Likapanda moyoni , puani.....Hata daktari wake hakuona ndani mpaka leo anasingizia mara moyo sijui covid!!! Havieleweki jiwe kafaje!!!

Muhindi yule kapanda daraja leo hii si kitoto!! Unahela lkn unaajiliwa tena kwa kuombwa!!! Cheza nini!

Kuuumbe kelele zote zile jiwe bana alikuwa Mweupe peee!! So Alikategemea kayesu ka vatican.

Maskini marehemu Hakujua yule ni yesu wa wazungu....sasa ili akusaidie penda wanae wa ulaya uwatembelee kila siku. Siyo uwaponde atakusaidiaje sasa???

So Jiwe likagoma bana!! Haya basi amfuate boss wake wa zamani amuume sikio hataki!!!

Nyooo!! yaliyo mkuta jiwe heee!! Hkn asiye jua humu....mpaka leo ananyea debe mahali flani.....hajafa yule mjue!!!

Bali Anapewa kibano kwanza ajue Dunia ina wenyewe.. Si ajabu akaibuka tena ila mtamkimbia.
 
Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...

1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia kwa Simba SC )

Na Mimi pia natamani kuwa Mwanasheria ( Wakili ) Nguli kama hawa Watajwa hapa juu.
Unaweza ukawa maarufu na usiwe nguli au mahiri hao wote uliwasema ukienda kwenye viunga vya mahakama utaambiwa wanapigwa tu Sana sema ni kwa sababu ni. Public figure ndio maana umewajua lkn pia kesi nyingi zinawapa umaarufu hasa ni climinal case zinavuta public interest lakini kwenye medali za sheria hao wanabuluzwa tu endelea kufanya research utajua kunatofauti kubwa kati ya umahiri na unguli na umaarufu ukienda pale posta Dar au masaki ,utakuta firm na mawakili utajua
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom