Nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,184
22,205
Habari wapendwa

Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John Magufuli chini ya CCM ni serikali inayojali na kutaka wananchi wake wapige hatua kimaendeleo. Ilani ya uchaguzi ya chama imeweka wazi. TUJIKUMBUSHE kuibuka vijana mamilionea kwenye awamu hii kama Diamond Platinumz, Fred Vunjabei, Lemutuz Superbrand, Edo Kumwembe, Shilole, Frank Knows, Diper Rato, Tunda Capuccino na wengine wengi.

Mr Kuku alikuwa na nia nzuri lakini utekelezaji mbovu. Mabeberu husema "the end justifies the means" kwamba ile tamati ndo huhalalisha mbinu zilizotumika kufika. Kama mwisho ukawa mbaya basi mbinu zilikuwa mbaya. Kwangu mimi Mr Kuku ni kijana mbunifu, mwenye akili nyingi na ushawishi wa hali ya juu. Ni wa kipekee. Tatizo lake alitumia njia za ovyo kwenye kutimiza ndoto zake. Je kwanini mbinu zake ziwe ovyo?

Kwanza yawezekana alikuwa na wazo ila mikakati ya kutekeleza alikuwa hana. Au alikuwa na wazo na mikakati lakini watu wa kumsaidia kutekeleza wakawa hawapo. Au alikuwa na wazo, mikakati, watu akawa hana uwezo wa kuongoza timu. Tukirudi nyuma kidogo tujikumbushe kuwa Mr Kuku ni kijana sana ambaye hajatoka familia tajiri kwahiyo kuna uwezekano alianza kushangilia ushindi mapema wakati ndo ilitakiwa akaze zaidi. Mr Kuku kwa umri wake bado ana nafasi ya kuwa zaidi ya pale mwanzo kama atatulia na kujipanga. Namwombea kwa Mungu apate ujasiri pia wa kumalizana na wanaomdai, kama serikali haijamnyang'anya mabanda ya kuku na mali zake zingine akae na waliowekeza kuona jinsi gani kwa pamoja wanaweza wakaendeleza walipoishia.

Machozi yanitiririka ninapoona vijana wengi waliotoka familia maskini kusoma kwa tabu kisha kuishia kwenye majanga kama haya. Vijana wengi toka familia maskini kwa sasa hupata mafanikio makubwa lakini hushindwa kuyamiliki haya mafanikio na kuishia kwenye matatizo. Baraka zinageuka laana. Tukiangalia kwenye sanaa kuna vijana wengi hupata umaarufu lakini hudumu kwa muda mfupi. Je tatizo ni nini? Wazazi tufundishe watoto kuwa mafanikio kwa njia za halali inawezekana. Tuache upumbavu wa kuwajaza akili mbovu kwamba mtoto soma uje upate kazi BOT au TRA kuna marupurupu kumbe bila kujua tunatengeneza mafisadi wa baadae. Wazazi wengine pia acheni zile kauli kwa vijana wenu kwamba wamezubaa sio kama mtoto wa fulani. Waacheni vijana wenu wafanye wanachofanya ili mradi hawavunji sheria za Mungu na za jamhuri. DPP pia awafilisi baadhi ya Motivational Speakers. Wana mchango wao kuwajaza vijana ndoto zisizowezekana.
 
Uzi Murua huu. Lakini dipa rato alikuwa tajiri lini???
 
We unaandika nadharia tu, sisi ndo tunajua ufedhuli wake kwa sababu hizo 5.4 bil ni sehemu ya fedha zetu na wala hahitaji kutetewa. Alifanya akijua alichofanya, kwa vile sheria ipo hivyo ila adhabu na uharibifu alifanya haviendani. Hizo 5.4bil ni mali za watu alizozulumu kwa makusudi kabisa.
Alichofanya kinasababisha vijana kutoaminiwa hata km watakuwa na lengo zuri, lakini kinarudisha nyuma dhana ya uwekezaji wa ndani kwa njia ya ushirika.
 
Bro sikupingi. Ukisoma nimeandika kwamba akutane nanyi mliompa pesa muone mtafanyaje. Kama serikali imemuachia mali zake zingine mimi naona kuna nafasi ya yeye na wote wanaomdai kuja kivingine ila kihalali. Cha muhimu kijana nae atulie. Alishangilia mapema kabla ya mechi kwisha.
 
Back
Top Bottom